Shukrani sana mkuu, na zaidi ya passport kuna document nyingine inahitajika?Me nipo Bukoba kutoka bukoba to Kampala ni masaa matano nauli ni 20000 kutoka dar to Bukoba nauli elfu 60 na ukitoka dar kwa bus utafika bukoba kesho yake saa 6:30 mchana ukichukua gari ina maana utafika Kampala saa 11 jioni ni hayo tu mkuu
hapana mkuu ni passport tu kuepuka gharama kupitia bukoba ni lahisi zaidiShukrani sana mkuu, na zaidi ya passport kuna document nyingine inahitajika?
Ahsante mkuu, na je zaidi ya passport natakiwa kuwa na document nyingine kama nitapitia Nairobi?Kama unatokea dar ni bora ukapitia nairobi maana utafika kla kesho yake kati ya SAA tatu hadi saa saba, kupitia mtukula ni kujichosha tu
Kama unatokea dar ni bora ukapitia nairobi maana utafika kla kesho yake kati ya SAA tatu hadi saa saba, kupitia mtukula ni kujichosha tu
Dar Nairobi masaa mangapi kwa basi?
Na Dar Bukoba masaa mangapi?
Au Dar Kampala....
Nadhani ingekuwa vizuri ukapanda la moja kwa moja dar bukoba to Kampala linaitwa friends...kama unapenda kupunzika una weza ukalala Bukoba kesho yake ukapanda bus saa 12 saa NNE asubuhi hupo Kampala...usafiri mpaka saa nane mchana una kuwepo...Au una weza kwenda Mutukula nauli ni elfu tatu kutoka bukoba mjini utatumia saa 1 na nusu na usfiri hupo any time kwenda Kampala na 700 ya kwetu kwao ni 1000Mabasi kutoka bukoba yanapatikana mwisho saa ngapi kwenda kampala
Dar-nrb ni 900km na dar-bukoba ni 1400km driving
Mkuu Kampala ukitokea Bukoba ni Massa matano huwezi kufika saa Tatu usiku me natoka asubuhi naenda kuchukua nguo saa 12 jioni nipo BukobaChukua passport na kadi ya chanjo ya homa ya manjano. Mtukula wanataka uonyeshe unaporudi toka Kampala. Njia ya Nairobi sijapita ila kupitia Mtukula kuna basi la Friends Dar to Kampala, nisafari ndefu lazima mlale kahama na Kampala mtaingia kesho yake saa 3 usiku
Jitahidi usirudi Dar na EbolaHabari wanajamvi
Nahitaji kusafiri kwenda Kampala Uganda wiki ijayo kwa basi ila sijajua ni njia ipi ninayoweza kupita na kufika bila tatizo lolote na je kuna document yoyote unatakiwa kuwa nayo zaidi ya passport?
Mimi natokea Dar es Salaam
660 KmWhat about Nairobi Kampala?
NENDA HOSPTAL YA MNAZI MMOJA UKACHOMWE SINDANO YA KINGA NA UPEWE KADI YA MANJANO NI 30000 other wise utabakia mpakani bila kua na iyo kadi na ukichomwa iyo sindano unatakiwa usubri kwa 10 days ndio usafir other wise utabaki border km unataka usafir bila shida zingatia.Passport peke yake ndio inayo itajika
Hiyo haitajiki mkuu kwenda Uganda ndio mishe zetu hiwe kufuata mazaga au kupeleka watoto shule aliye kuambia hivyo kakupotosha at a mda huu nikiamua kwenda Kampala naenda cha msingi passport uwe nayo sehemu zote za mpaka wa Uganda kwa upande Karagwe sehemu inaitwa mlongo na MutukulaNENDA HOSPTAL YA MNAZI MMOJA UKACHOMWE SINDANO YA KINGA NA UPEWE KADI YA MANJANO NI 30000 other wise utabakia mpakani bila kua na iyo kadi na ukichomwa iyo sindano unatakiwa usubri kwa 10 days ndio usafir other wise utabaki border km unataka usafir bila shida zingatia.
Hiyo haitajiki mkuu kwenda Uganda ndio mishe zetu hiwe kufuata mazaga au kupeleka watoto shule aliye kuambia hivyo kakupotosha at a mda huu nikiamua kwenda Kampala naenda cha msingi passport uwe nayo sehemu zote za mpaka wa Uganda kwa upande Karagwe sehemu inaitwa mlongo na Mutukula