Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ndugu zangu,mimi ni Engineer wa halmashauri X. Kila mwaka serikali inatoa mill 70 kwenye halmashauri yetu kwa kupitia idara ya mipango lakini tukiomba mafuta kwaajili ya kwenda site...
1 Reactions
5 Replies
79 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wananchi tunaotumia huduma za simu za mkopo. Kwa kweli tunakumbana na changamoto kubwa sana kwenye huduma hii. Mara nyingi wanatukopesha simu ambazo siyo nzuri nyingi zina...
0 Reactions
2 Replies
160 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
https://www.instagram.com/p/DeM5L4Nhyxk/?exln=MTNibGhxZnJkeDNmNw==
0 Reactions
1 Replies
36 Views
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, unakuta ndani mmegombana alafu gafla anaanza kusema "nipige nipige" huku ukiendelea ku-provoke au kuchochea hasira za mwanaume hili apate hasira zaidi, kisha...
8 Reactions
31 Replies
348 Views
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua katika utekelezaji wa malengo ya afya ya mama na mtoto, huku juhudi zinazofanyika zikitoa masomo muhimu kwa nchi nyingine za Afrika.
0 Reactions
0 Replies
72 Views
kila nikikaa na kutafakari mwelekeo wa nchi yetu, naanza kuona wazi kuwa mjadala wa Katiba Mpya nchini Tanzania unazidi kupoteza maana halisi ya uzalendo na badala yake unatawaliwa na ubinafsi...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah, akiwahudumia wateja na kuwaeleza manufaa ya programu ya PRIS na Puma Elite Card katika kituo cha Puma Airport Service Station. Kupitia...
1 Reactions
1 Replies
68 Views
Hello bosses and roses Leo nimeona niandike kuhusu hili swala sababu nasikia wengi wakilalamika, sio majumbani, sio makazini. Hivi je ulishajisikia ile hali kwamba hauumwi ugonjwa wowote ule...
1 Reactions
5 Replies
112 Views
AFYA za wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika Manispaa ya Shinyanga zipo hatarini kutokana na tabia ya kujisaidia hovyo, hali inayochangiwa na upungufu mkubwa wa matundu ya vyoo pamoja...
0 Reactions
2 Replies
129 Views
Inadaiwa Wananchi wa Mtaa wa Shimo la Udongo ni mmojawapo wa mitaa inayounda Kata ya Kurasini, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam wanakabiliwa na hali ngumu baada ya nyumba zao kubomolewa kwa...
0 Reactions
9 Replies
146 Views
Habari za muda huu wana-JF. Kuna tukio lililowahi kunitokea ambalo mpaka leo linanifanya niitafakari namna tunavyopima akili za watu katika jamii yetu. Kipindi cha awamu ya tano, wakati nikiwa...
3 Reactions
8 Replies
150 Views
Ingawa vifo humhuzunisha yeyote ila vinapishana viwango vya huzuni. Kwa mfano huzuni ya kufiwa na mama haiwezi kuwa sawa na huzuni ya kufiwa na girlfriend. Sasa hawa nitakaowataja kwenye huu uzi...
0 Reactions
3 Replies
116 Views
Vichaa mitaani ni wachache mno, hawa wanaotembea na kuokota makopo, sijui kuomba msosi sio vichaa. Mtu mchana unamuana kichaa, lakini usiku alishakula na kushiba anapiga story hadi unashangaa...
6 Reactions
15 Replies
150 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imehitimisha wiki ya huduma kwa Wateja kwa kutoa misaada kwa wahitaji wenye ulemavu kupitia Shirika lao la Equal Right for All lenye makazi yake...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
UCHAMBUZI KWENYE GAZETI LA UHURU, GAZETI NAMBA MOJA KWA UKUBWA NA UKONGWE TANZANIA. 📌Baada ya uwekezaji huu sasa Bandari ya Dar yatajwa na Benki ya Dunia kuwa Namba moja kwa ubora na ufanisi...
1 Reactions
0 Replies
110 Views
Naomba nitoe kero yangu. Tumeona ajali iliyotokea Morogoro iliyosababisha vifo vya ndugu zetu. Hii ni mojawapo tu ya ajali nyingi zinazotokea mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, lakini...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Kama mangungu na mo wanafaa au hawafai mseme mapema kabla ya matokeo ya kesho maana najua wanaweza pongezwa au kuzongwa na kusemwa
1 Reactions
10 Replies
98 Views
That's why hata idadi ya wanawake Kwa mwanaume ni ratio ya 4 Kwa 1 , I mean wanawake wanne Kwa mwanaume mmoja . Wanawake wengine si wa kuoa na KUZAA .
6 Reactions
49 Replies
595 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…