Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA...
2 Reactions
12 Replies
582 Views
Tuwe na Imani Imara, Tusiogope Imani Ni nini Katika imani za kidini, imani imara isiyokuwa na mashaka ni kitu cha lazima. Imani hafifu ni sawa na kuwa vuguvugu. Yaani, siyo baridi wala siyo moto...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Baba mmoja mtaa wa pili , au jirani yetu kwenye huu mji mchanga leo alfajiri aliaga kwa mke wake kuwa anakwenda kazini kwake Kariakoo kama kawaida. Mke alipopiga simu ya kujua amefika wapi iliita...
1 Reactions
9 Replies
601 Views
Ni neno gumu nililoweka hapo juu ili viongozi waache na wao kutumia dini kujificha kwenye tawala zao. Tunaomba hata kuhapa wasishike misaafu na biblia sababu wao washasema dini sio siasa. Wakija...
1 Reactions
2 Replies
276 Views
Niko na familia ambayo tunahitaji kucheza vikoba online tufanyeje jamani? Mana tupo mikoa tofauti tofauti !!! Vipi tukifungua account tutatofautishaje fedha ya Kila mmoja mana Kila mtu aki deposit...
1 Reactions
2 Replies
250 Views
Kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha shilingi za kitanzania Bilioni 331 wakati wa uchaguzi 2020, Vs Kwa mujibu wa Bajeti ya Serikali ya Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
418 Views
Hili ni Daraja lipo katika Kata ya Mkonze, Mtaa wa Muungano Jijini Dodoma linaunganisha Mtaa wa Muungano na Goba lakini kwa muda mrefu lipo hivyo linavyoonekana hapa kwenye picha. Yaani vyombo...
0 Reactions
5 Replies
675 Views
. Roho hizo zinaweza kurudi zenyewe au kurudishwa na mtu, kwa lengo fulani, aidha kutatua tatizo lililoshindikana katikati ya mtu au jamii ya watu, au kulilipiza kisasi kwa mambo aliyofanyiwa mtu...
2 Reactions
1 Replies
794 Views
Ajali Nyingine: Bus la Hai Express limeshaua Watu. Kwenye Video Polisi wanaitwa wakaokoe
0 Reactions
11 Replies
887 Views
Hapa kuna orodha ya dini kubwa zaidi duniani kwa mujibu wa idadi ya wafuasi wao: 1. Ukristo: Ukristo unajumuisha madhehebu mbalimbali kama vile Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste...
10 Reactions
68 Replies
17K Views
Kusema ukweli, bila Biblia, Quran isingekuwapo, na ni bahati mbaya sana kuwa watu wengi hawalioni wala kulijua au kulisema hili. Ukisoma vizuri vitabu vyote kwa weledi na umakini bila kuvaa...
9 Reactions
97 Replies
3K Views
Copy&paste👇umakini unahitajika sana. Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni mfanya biashara mkubwa tu wa mbao Malawi...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu habari za nyie... Mara nyingi nimekuwa nikiskia watu wanaambizana,. "Ukijiajiri unakuwa na mda mwingi wa kupumzika Kwasabu Kila kitu unajiamulia mwenyewe ufanye au usifanye".. kiuhalisia...
10 Reactions
95 Replies
2K Views
Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na...
0 Reactions
15 Replies
608 Views
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika...
11 Reactions
69 Replies
4K Views
Naandika tu kama mtazamo wangu.. Maana pengine hatua zinaweza zisichukuliwe haraka kutokana na aina ya wapelelezi tulio nao Kuna conclusion zinatolewa haraka sana kwenye haya mauaji na vifo na...
6 Reactions
9 Replies
642 Views
Ukitaka mtu aropoke yote aliyofanya kwa siku hiyo wakati yuko usingizini basi akisha lala, chukua glass yoyote,itie maji ujazo kiasi kwamba kidole cha shahada kikiingizwa kitaenea ndani yamaji...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Wadau wa JamiiForums, Habari Zenu! Hivi umeshawahi kusikia msemo "Mafanikio yako yanategemea mawazo yako"? Au labda "Acha kulala, fanya kazi kwa bidii, tajiri mkubwa analala saa 3 usiku na...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Tuanze na hii. Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini. Maana yake ni kwamba ,kama...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini... Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana. Ma butcher yapo wapi kwa dar ?
7 Reactions
13 Replies
715 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…