Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu, binafsi nimewahi kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza...
Kifungu cha Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Sura 366, Toleo Rekebu 2019 kinasema hivi:
- 31(10) The pro rata amount of annual leave referred to in subsection (8) shall be calculated at the...
Huyu mwamba anastahili kabisa jina lake liendelee kuwa sehemu ya maisha ya Mwanangu ajaye...
Benjamini Netanyahu ni kiongozi ambaye Israel sijui itampata lini tena baada yake...
Hanaga mbambamba...
Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo.
Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu...
Ukiingia kwenye page za twitter (X) unakuta viongozi wakubwa kabisa wanapost vitu kibao tu . Sasa je , inamaana na wao wanalazimika kutumia VPN ku access twitter ?
Kama malengo nikuifungia...
Yes,nimefanya tafiti za rushwa kwa kipindi kirefu sana tangu nikiwa chuo kupitia clubs za TAKUKURU,na baadae nikijitegemea.
Kipindi hiki rushwa imekuwa ni mfupa mgumu kwa TAKUKURU.
RUSHWA...
Habari watanzania wenzangu,
Jioni ya leo ningependa tujadili suala hili la deni letu kwa heshima,unyenyekevu,busara na hekima tulizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu (mwingi wa rehma mwenye kurehemu)...
Wazee huku Tunduma ni changamoto kuvuka aisee siku saba foleni haitembei, huu msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ni kero kubwa sana na hali hii inakwamisha...
Huo ni unabii ulioandikwa katika Zekaria 12:2 –
“Tazama, nitaufanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kulewesha kwa mataifa yote yaliyo pande zote…”
Mungu alimtumia Nabii Zekaria kutoa unabii huo wa...
Wakuu amani ya Mungu, upendo na rehema zake viwe nanyi.Ni furaha kuu kwangu kupata nafasi ya kuungana nanyi hapa jamvini tena.
Nipende kuwajulisha wajumbe wenzangu kuwa Mimi CHARMILTON...
Moja ya dhambi zinazowaangusha wengi ni “kutokusamehe”. Na hii inatokana mara nyingi na kutokuelewa nini maana ya msamaha. Ni rahisi kujilazimisha kusamehe lakini kama msamaha haujatoka ndani basi...
Swali langu ni hilo kwenu nyinyi mnaoshangilia na kuruka ruka mnaposikia Israeli imewapa vipondo majirani zake. Naomba mnipe majibu yenye msingi wa Maandiko.
Mimi Biblia yangu inanikataza...
Vijana ni sehemu kubwa na muhimu ya jamii, wakiwa na nguvu, ubunifu na mitazamo mipya kuhusu changamoto na fursa za maendeleo. Ushiriki wao kwenye michakato ya utoaji wa maamuzi – iwe ni katika...
Serikali unajua dhahiri kuwa na kiwanja cha kimataifa ndani ya hifadhi ya Serengeti ni makosa makubwa na madhara yake ni makubwa kuliko faida ila kwa wachache wanangalia faida za kifedha na...
"Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga"
Ualimu hauna maana ndio sababu hakuna mtoto wa waziri ni Mwalimu, bodaboda au nesi muosha vidonda.
Benki Kuu yaani B.O.T na hazina kuna...
Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra!
Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania...
Ninachojua pombe pombe tu Kuna za wanaojifunza na makonki kama sisi
Sasa pombe. Nyepesi isiwe sababu ya kuzihirisha
Kuna pombe haramu na HALALI pombe itabaki pombe