Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza:
“Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?”
Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini...
Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo...
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila...
Bajeti ya taifa ni nyenzo muhimu inayolenga kuhakikisha serikali inatoa huduma kwa wananchi na kuendeleza taifa. Ni hati ya fedha inayotoa dira ya mapato na matumizi ya taifa. Hata hivyo, bajeti...
Katika jamii zetu kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya ajali za moto na watu kupoteza maisha hatuwezi kupingana na husemi husemao kuwa hakuna ajuaye siku ya kifo chake yawezekana ikawa ni baadae...
Kero ya Mabasi ya Mwendo Kasi (UDART) – Njia ya Kivukoni hadi Kimara
Ndugu zangu,
Naomba kuchukua muda kidogo kuzungumzia kero kubwa inayotukabili sisi watumiaji wa mabasi ya mwendo kasi...
GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii...
Faith Jerop alipokutana na mwanamume Mrusi nchini Kenya, alihisi kama ameokota dodo kwenye mnazi. Upendo wao ulichanua vizuri, mdogo mdogo mpaka mahaba yakawa mazito. Na binti yao alipozaliwa...
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu wanajf popote mlipo .
Leo sina mengi wakuu ,ila nataka majibu toka kwenu.
Deni la Taifa leo ni T 100 plus ,ila yule mnafiki anasema kama watz tusiwe na...
Wakati wa kukopa mnaliita
DENI LA TAIFA (Mnatuhusisha)
Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia hizo fedha za mkopo mnatuondoa, mnaziita ni fedha za MAMA!!
Daraja kajenga Mama, Shule Kajenga Mama...
Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limesema linachunguza mauaji ya Mume na Mke ambao ni Anthony Hillary Ngaboli(46) na Anna ambao wamekutwa wakiwa wamefariki chumbani kwao katika nyumba...
Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field).
Katika maandiko ya...
Mambo vipi wadau,
Niende moja kwa moja kwenye swali ambalo huwa najiuliza sana lakini mpaka sasa sijapata majibu ya kueleweka au ya moja kwa moja.
Huenda kuna maeneo mengi sana duniani ambayo...
Mihesabu kama ya Trigonometric ratios (Tan, Cos na Sin), Calculus n.k. na mihesabu migumumigumu ya chuo kikuu iligunduliwaje?
Yani mtu unasolve page nne ndio unapata jibu jamani!!! Sasa...
Kwanza inatakiwa utoe oda zaidi ya siku14 ndo upate vifaranga.
Vifaranga vyenyewe wamechakachua ubora hafifu!
Ona bei zao wanajipangia wanavyopenda wao.
Ukikoswa mzigo Hadi uanze kuwa bembeleza...