Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni ya Apple imetoa ushauri kwa baadhi watu wenye tabia ya kuweka simu kwenye mchele kama njia ya kukausha maji yalioingia kwenye simu kuacha kabisa tabia hiyo kwani inaweza kuharibu simu...
3 Reactions
4 Replies
390 Views
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Tume ya Madini kuwapa kipaumbele watanzania kwenye usambazaji wa huduma na bidhaa kwenye migodi ya madini ili kujipatia kipato, kuongeza mzunguko...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene ameipongeza Tume ya Madini kwa kazi kubwa na yenye matokeo chanya katika ukusanyaji wa maduhuli...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Wakuu, Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Katika karne ya 19, kulikuwa na kifaa cha kipekee kilichoundwa mahsusi kuwasaidia wanawake kushughulikia matatizo ya gesi tumboni—bila aibu wala kusumbua waliokuwa karibu nao. Kifaa hiki kiliitwa...
3 Reactions
5 Replies
489 Views
Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari! 1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel imeanza na...
13 Reactions
76 Replies
4K Views
Na Zurima Ramadhan Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kusimamia Maadili ya Watoto Zanzibar itasaidia kupunguza mporomoko wa maadili nchini. Hayo yameelezwa na katibu wa jumuiya hiyo Ali Muhammed Suleiman...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Karibu Wadau wa JamiiForums! Kama mpenda teknolojia na mtafiti wa masuala ya usalama mtandaoni, leo nimekuja kuwafunua kuhusu utapeli unaosambaa kwa kasi katika dunia ya kidigitali. Najua kuna...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Nadhani wote hapa tumeelewana kabisa na kama haujauelewa huu Uzi wa GENTAMYCINE mtafute Genius akufafanulie.
2 Reactions
2 Replies
296 Views
The Fourth Local Content Compliance Forum (LCCF) in the Mining Sector concluded today in Mwanza, having brought together a wide range of stakeholders committed to enhancing Tanzanian participation...
1 Reactions
1 Replies
566 Views
Unakuta mtu anapost thread yenye maudhui ya ukosefu wa maadili kabisa. Yaani inatia kinyaa hata kuisoma. Huwa najiuliza hivi baba yake au mama yake akisoma hayo mambo ya hovyo aliyoandika mwanaye...
1 Reactions
1 Replies
270 Views
Jeshi la Israel limethibitisha kupatikana kwa mwili wa Mohammed Sinwar, kiongozi wa Hamas na mdogo wa Yahya Sinwar, ndani ya handaki la chini ya ardhi lililoko chini ya Hospitali ya Ulaya huko...
1 Reactions
0 Replies
245 Views
Wakuu, Kuna namna bado sielewi, inamaana Mkoa wa Simiyu kero za wananchi zimetekelezwa zote ? Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi hotuba yake ya leo mbele ya Rais Samia kwenye mkutano wilaya...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi z auchimbaji madini kuiuzia...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itaendelea kuimarisha Mpango wa Ununuzi na Uhifadhi wa madini ya dhahabu yaliyosafishwa kwa kiwango cha asilimia...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Wadau mbalimbali wanaoshiriki katika Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini wameonesha kufurahishwa na fursa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani madini...
1 Reactions
0 Replies
210 Views
Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeanza rasmi leo Juni 16, 2025 jijini Mwanza ambalo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Wizara...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali...
1 Reactions
0 Replies
268 Views
Wizara ya Fedha imeeleza kuwa ili suala la usimamizi wa mnyororo wa ugavi lifanikiwe, linahitaji ushirikiano wa wadau mbalimbali, wakiwemo wananchi na wanahabari, ambao wanaweza kuwaibua watu au...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…