Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran. Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran...
0 Reactions
4 Replies
444 Views
Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili...
2 Reactions
2 Replies
677 Views
EADB YATOA BILIONI 63.2 KUZIWEZESHA TAASISI ZA FEDHA TANZANIA Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imesaini hati ya makubaliano ya utoaji wa mtaji wa jumla ya shilingi bilioni 63.2 kwa...
0 Reactions
1 Replies
296 Views
Hii sijuwi ilitokea wapi? Naona vyuma vimeumana Ova Mshana Jr
3 Reactions
6 Replies
614 Views
Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha makazi ya watanzania yanakuwa mazuri na katika ubora unaotakiwa Barabara zote zitakuwa kubwa na zitapigwa lami Kukiwa na mipango miji...
2 Reactions
12 Replies
618 Views
Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali imewataka walimu wote nchini kuendelea kuwa walezi na kuwasaidia wanafunzi kutojihusisha na tabia zenye kuondoa maadili na utamaduni wa Kitanzania. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Wakuu kuna kitu kinanitafakarisha sana yaani kila nikikaa natafakari sana. Yaani Mwanaume ni marufuku kumsikiliza mkeo hilo kosa adhabu yake ni ya milele na ilikua imeanzishwa na Muumba Mwenyewe...
5 Reactions
118 Replies
4K Views
Wafanyakazi wa kubeba mizigo katika Bandari ya Bukoba mkoani Kagera wamegoma kufanya kazi wakilalamikia kutolipwa stahiki zao kwa muda mrefu, hali ambayo imeathiri maisha yao ya kila siku...
1 Reactions
2 Replies
302 Views
Hii ni bandiko ambalo kila siku nitakuwa naweka maneno ya Baba mtakatifu OLUMBA OLUMBA OBU Ujumbe wa: Jumatatu (23-06-25) MANDHARI: USafi: UFUNGUO WA UFALME WA MUNGU (Dondoo 4) SOMO LA KWANZA -...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kupiga vita kilimo cha dawa za kulevya kama bangi na mirungi. Rais...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika kambi ya madaktari bingwa na wabobezi inayofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha. Kambi hiyo imeanza rasmi...
1 Reactions
1 Replies
267 Views
Habari wakuu, Bwana YESU atukuzwe na ufalme wake uje na mapenzi yake yatimizwe... Leo naomba niwape Siri iliyopo kwenye maombi ya Kushukuru na kujitabiria... Tumezoea Kushukuru kwa sadaka zaidi...
2 Reactions
2 Replies
433 Views
KUTOJENGWA KWA NJIA ZA WAPITANJIA: Kwanini hazijengwi, nani alaumiwe, na nini kifanyike? Katika miji mingi ya Tanzania, hususan Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na maeneo mengine yanayokua kwa...
0 Reactions
8 Replies
378 Views
Nisipoteze Muda kama Mwanamaombi Niliamua kufunga Masaa 48 ktk Jambo fulani hivi Mwaka mmoja uliopita. Nilianza asubuhi saa kumi na mbili.Mchana kutwa nilikuwa nafanya kazi zangu...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
wakuu ===== Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
2 Reactions
11 Replies
837 Views
Anonymous
Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hakutoshi balaa
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ