Watu wasio na ajira Nchini Tanzania wakiwa wamejikusanya kuhangaikia mapokezi ya timu ya Yanga ikitokea Zanzibar baada ya kutwaa kombe la CRDB.
Ikumbukwe kwamba leo ni Jumatatu, ambayo ni...
Habari zenu wapendwa.
Mimi Niko salama.
Ninakuja kwenu nikiwaomba wote wenye uzoefu wanisaidie ushauri.
Ninatamani kuhamia maeneo ya migodini nikafanyie biashara huko.
Nimechoka pia Kuishi...
Wakuu,
Afya ni mtaji,unatamba mtandaoni,kazini kwako na upo hapo ulipo kwa ajiri ya afya bora uliyonayo,kumbe sasa kuna umuhimu mkubwa wa kuzitunza,kuzilinda na kuzidumisha afya zetu.
Moja ya...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Esther Bulaya amechukua Fomu ya Kugombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) leo...
Hello wana JF,,
Je ushawai sikia watu wakisema "Ujana ni maji ya moto"?
Huu uzi ni kwaajili ya kutoa mawazo yako juu na mada husika, je wewe unaelewa vipi katika ilo!
Je ujana huo kuwa wa moto...
Wakuu habari!
Kutoa ni moyo, tenda wema nenda zako, ukimpa mtu kitu usitegemee malipo. Kila mtu anajua hizi kauli za kijamii
Lakini ktk maisha watu ni wabinafsi sana na hawana huruma, wao chao...
Habari Wakuu.
Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story zilikuwa nyingi ikanibidi nilale. ilipo fika asubuhi nikamsindikiza rafiki...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. William Vangimembe Lukuvi ameongoza uzinduzi rasmi wa Biblia iliyotafsiriwa katika lugha ya Kihehe, akilitaja tukio hilo kama hatua ya kihistoria na...
Sijui nianzaje ila salamu ikianza sio mbaya angalau nionekane na heshima kwa wakubwa😊
Shikamooni wakubwa na wazee watu wa kila rika natumai mu wazima na wengine muda huu tunakula ugali(japo kuna...
UMELIA KWA BIDII NA WELEDI MKUBWA?
Jikaze kiume!
Wanaume hawalii!!
Usilielie kama mwanamke!! Na kauli nyingine nyingi zinazoendana na hizo kimekuwa ni kitu cha kawaida sana katika mazingira...
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza. Hivi ni lini tutaweza kutoza Kodi Mikoa, Wilaya, Kata na Kijiji/ Mtaa?
Ili wanavyopelekewa fedha za Umma kwaajili ya maendeleo wanapaswa waonje uchungu, wawe...
Wanajamvi,
Ni mwezi mmoja sasa tangu nimefiwa na rafiki yangu wa karibu sana (jinsia ni mwanaume) na pia alikuwa mfanyakazi mwenzangu.
Tangu mpendwa huyu atangulie mbele za haki, nimeshindwa...
Wakuu,
Hivi hii kweli ni marehemu huwa anagoma au analeta shida kusafirishwa au kuzikwa eneo fulani eti hataki,
maana najua tayari ni mfu inawezekanaje?
GEITA: MBUNGE wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge...
Golf Mike Uniform!
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali...
Habari Kwenu wote,..Nani hajastushwa na "Trend" ya Kila Mtu maarufu kuchukua Form ya Kugombea Ubunge??.Ni haki ya Kila Mtu ya kikatiba kuchagua au kuomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kua...
Mawasiliano ya maskini kwa siku nzima asilimia kubwa itakuwa ni habari za umbea, wivu na majungu mpaka akilala usiku anaota MAJUNGU ( MAREJEO YA TAARIFA ALIZOKUSANYA KUTWA NZIMA )
Ukirudi kwa...
Ni mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss
Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania
Hakuna makelele ni ngumu kusikia...
Kwa muda mrefu, jamii nyingi barani Afrika, ikiwemo Tanzania, zimejijengea utamaduni wa kuwa na vikundi vya kijamii vinavyolenga kusaidiana wakati wa matatizo kama vile misiba, magonjwa, au...
Nacheka kwa uchungu
Embu wanaume tuongee hapa, una kitu umekiona umekitaman na unaona kabisa kitakufaa ama kitaifaa familia yako, na zaidi una shida nacho sana na pengine unamudu garama kabisa...