Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mariam Vincent Mahimbo, mkazi wa Buza, Chama Yombo, Temeke amekuwa akimtafuta mume wake, Ally Nanjasye kwa zaidi ya miezi mitatu tangu alipoondoka nyumbani Mei 12, 2026, baada ya kupigiwa simu na...
0 Reactions
6 Replies
243 Views
Huwa mnashangaza sana nyie mnaoutoa huu ushauri. Mngekua na ujuzi wa fedha kama mnavyojinasibu msingekua na hali mbaya kama hizo mlizonazo. Kwahiyo serikali, mabenki na baadhi ya matajiri ni...
1 Reactions
22 Replies
268 Views
Kuna faida kubwa sana hasa zama hizi kutokea kwenye vikao vya wanaume Mwamba huyo alikuwa hatokei kwenye vikao kila akiitwa hafiki ona sasa kimemlamba 😂 😂 😂
3 Reactions
4 Replies
133 Views
WAKUU, KUNA JAMBO MOJA WATU WENGI HAWATAKI KULIKUBALI... Mara nyingi tunasema: "Nikishapata pesa nitabadilika." "Nikishapata kazi nitakuwa sawa." "Nikifanikiwa nitakuwa na amani." "Nikiondoka...
1 Reactions
6 Replies
103 Views
Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania IPU Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Mkutano huo unatoa nafasi ya kueleza maendeleo ya kikatiba, mfumo wa vyama vingi, utawala wa sheria na namna taasisi za nchi...
0 Reactions
2 Replies
56 Views
■Ni ya Tanzania kuwa kitovu cha nishati barani Afrika ■Fedha kuunganisha umeme kwenda Malawi zapatikana ■Ni baada ya Kenya, Rwanda, Burundi, Zambia, Uganda
0 Reactions
2 Replies
55 Views
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare (kulia), akizungumza na wateja wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja katika Duka la Vodacom jijini Dar es...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO...
0 Reactions
8 Replies
106 Views
kama tunalipia huduma husika kwanini Vodacom Tanzania hawatupi copy ya barcode ili kama ukibadilisha simu usilazimike kurudi tena voda shop?
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Baada ya kuona jinsi Uislamu ulivyobeba mambo mengi kutoka dini ya wasabai , Leo tutaangalia Tena jinsi Uislamu ulivyobeba mambo mengi zaidi kutoka vitabu vya apokrifa vya wayahudi na wakristo...
14 Reactions
125 Replies
4K Views
Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Habari wadau, Naomba nipate uzi wa yule jamaa aliepata changamoto ya ajali akivunjika uti wa mgongo akiwa Chuo Mweka Moshi jina lake simfahamu msaada wakuu niupate ule uzi niweze kusoma msaada...
0 Reactions
3 Replies
75 Views
Miaka 2016 nilikuwa na changamoto ya mtaji ili ni boost kufikisha malengo. Ila nilipo waomba benk waligoma kabisa japo nilikuwa na account yao. Nimejikokota we mungu si dotto magari mambo yapo...
2 Reactions
2 Replies
70 Views
“Wanaume hawaji karibu nami. Hata hawajaribu. Wananiona kama mtu asiyeweza kufikiwa, lakini hakuna mtu ambaye hawezi kufikiwa. Sisi sote ni binadamu. Sote tuko sawa, kila mmoja ana thamani yake...
4 Reactions
25 Replies
373 Views
Baada ya zaidi ya mwaka mmoja wa kusikilizwa kwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, Mahakama Kuu imefunga hatua ya kusikiliza ushahidi na hoja za mwisho za pande zote. Sasa...
2 Reactions
1 Replies
232 Views
Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika. Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na...
0 Reactions
1 Replies
33 Views
Huu ndio utu. Hii ndio ethics Sio wema kabisa watoto hawa wawe exposed na kuwa targeted. Sio kila mtu anakili ya alfajiri, watu vichwa vyao vimejaa giza. Maxence Melo Cookie Payge Active 255Fixer
0 Reactions
3 Replies
57 Views
Acha video iongee
6 Reactions
35 Replies
635 Views
Mnamo mwezi Aprili 2026 Umoja wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Korosho nchini (KCJE) na Bodi ya Korosho Tanzania walieleza kuwa wanatarajia kusambaza zaidi ya tani elfu 50 za Viuatilifu vya unga...
3 Reactions
14 Replies
263 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…