Ukiangalia dunia katika mtazamo wa asili yake utagundua ipo katika mfumo tegemezi, yani wewe-mimi-miti-wanyama-maji-hewa, ni circle ambayo mmoja ikitoweka mazima basi balance inakosekana...
Kama hujatembea mataifa ya wenzetu unaweza usielewe hii kero niisemayo hapa.
Ukweli ni kwamba barabara zetu zinawekewa matuta ya kikatili na ya hovyo sana, licha ya haya matuta kuchangia...
Wakuu,
Kwa waliopo BUKOBA mwenye moyo wa upendo na huruma, naomba niwakaribishe kuungana nami tarehe 26/7/2025 katika safari ya baraka kutembelea wahitaji kutuo cha kulelea watoto yatima TUMAINI...
Niliwai leta mkasa wangu nafikri wapo wanao kumbuka baada ya kutoka Mozambique.
Akuna muda wa kupoteza
Tuendelee Sasa
Baada ya kurudi hapa tz nyumban nikiwa mfukoni Nina elf 30 TU naikimbuka...
Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu...
Jamani hii maana yake nn ivi kwann mafundi simu wengi sana yaaan wengu huwa ni maotadh wa dini ya kiislamu alilimia 99 ni kwann fundi simu na ushekhe vinamausiano gani asanteni
Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji...
Mzazi kumsomesha mtoto haipaswi kuwa uwekezaji unaosubiri faida siku moja. Watoto hawazaliwi kama mikataba ya kurejesha mkopo. Wanahitaji malezi bora, elimu na upendo—si kwa sababu watatulipa...
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali moja: Hivi ni lini tutaanza kuwajibika kwa maamuzi yetu binafsi, hasa yale ya kiuamuzi kabisa kama kuingia kwenye ndoa...
Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna...
Hali ni tete na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa sekta ya ujenzi na huduma za kijamii zinazotegemea wakandarasi. Bila hivyo, miradi mingi itakwama na uchumi wa ndani kuumia zaidi.
Wakandarasi...
Kobisi ni muigizaji ambaye amejipatia umaarufu hivi karibuni mbali na kuwepo kwenye game kitambo. Tamthiliya ya kombolela imemfanya Kobisi aonekane na ajulikane. Kobisi ni kijana mkubwa mwenye...
Hii sio chit-chat wala chai. Ni habari ya ukweli. Kuna mtekaji mahiri duniani anayewateka watu kwa urahisi kabisa bila vitisho wala silaha. Mtekaji huyu ameteka mamilioni ya watu, wazee kwa...
Habari za Leo Wadau,
Nina shida na namba za Ofisi ya Rita- Ilemela.
Hata nikipata za mtu anayefanya Kazi Halmashauri ya Ilemela it's good for further follow up.
Hearing from you guys, it's urgent.
Mzuka wana jamvi ..
Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ;
1. Yesu : Huyu walimfanyia...
Wakuu,
Jana nimeona NECTA wameachia rasmi matokeo ya Form 6 kwa mwaka 2025 kwa kweli nikakumbuka mbali sana miaka kadhaa nyuma.
Nakumbuka nilikuwa nyumbani siku hiyo nimekaa na mwanangu...
Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu...
Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na...