Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kitu cha kujifunza nimeona nigawane nanyi Unapoamua kusomesha watoto wa ndugu zako...hakikisha na wa kwako umewandalia mazingira mazuri kwa ajili ya mbelen Kuna mdingi ametoa ushuhuda...
1 Reactions
3 Replies
269 Views
Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke. Nafasi aliyokuwa nayo BBC Uzoefu wa Kazi Exposure n.k Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva . Yaani aanzishe Project...
38 Reactions
85 Replies
4K Views
Mzee mmoja akakutana na kijana aliyemuuliza: "Unanikumbuka?" Na yule mzee akamjibu hapana. Basi yule kijana akamwambia nilikuwa mwanafunzi wako, na mwalimu akamuuliza: "Unafanya nini sasa...
15 Reactions
13 Replies
824 Views
Tumekutana na mtu tuliesoma wote, mi nikaishia Darasa la 3 B. Yeye amekuja Dukani ananikuta Heee kashituka kumbe wewe. Ananza kumuhadithia aliekua nae pale alikua na Akili huyu shule ila aliacha...
5 Reactions
22 Replies
901 Views
Mkurugenzi wa baraza la manispaa mjini Bi Hasna Attai Massoud Leo mapema amefanya ziara ya kushtukiza ya ukaguzi wa vituo vya dala dala visivyo rasmi ambavyo vilivyo pigwa maraufuku ndani ya...
1 Reactions
2 Replies
285 Views
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema jumla ya wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wakiwemo wasichana 76,491 na wavulana 73,327 wamechaguliwa kujiunga na...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Ikiwa hakuna ulazima wa kupanda Boda , basi usipande.
10 Reactions
71 Replies
3K Views
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wameaswa kuzingatia uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa mahali pa kazi ili kuboresha huduma kwa wateja na...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Ili kuepukana na Sheria za kufuatiliana nani kafunga Nani hawafungi vijana wengi toka Saudia hukimbilia Ulaya na amerika kuendelea kuponda raha kipindi cha mwezi wa ramadhani Hadi ipite ndo warudi...
2 Reactions
19 Replies
954 Views
Goodmorng Samahani sana nina shida pale TPA naweza pata mtu ani saidie changamoto yangu 🙏
1 Reactions
15 Replies
666 Views
Au unasemaje kuhusu kuchinja watu ili ufurahie mabikra 72??? Vp majini wazuri umeshaanza kuwatumia? Una ushahidi gani mtume wako alitumwa na Mungu ana akapaa kwenda mbiguni?
5 Reactions
36 Replies
853 Views
Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha...
3 Reactions
11 Replies
527 Views
Siku za karibuni nimegundua gesi inaisha haraka Sana nyumbani Wakati matumizi ni Yale Yale na watu ni wale wale Sasa Leo nimenunua Nimefunga Tu mshale unasoma hivo Hii ni sawa wakuu?? Maana...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu Haya sasa matokeo ya kidato cha 6 yametoka rasmi. Kama kawaida ufaulu umeongezeka Matokeo yote yanapatikana kupitia tovuti ya NECTA au unaweza kwenda moja kwa moja kupitia link Matokeo...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Kwanini umeme unakatika kwa siku hata zaidi ya mara 10 kuna nini? Km leo kuanzia saa 12 hakuna umeme tuko gizani, kuna nini mbona hatuelewi. Maisha gani haya ya kuishi gizani zama hizi na umeme...
0 Reactions
6 Replies
353 Views
Utajiri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX, Elon Musk, umepungua kwa kiasi cha dola bilioni 15 kwa siku ya leo pekee baada ya hisa za kampuni ya Tesla kuporomoka kwa karibu asilimia 7 na...
1 Reactions
3 Replies
523 Views
Hakuna kitu kinanikera kama kuombwaombwa misaada yaani sasa hivi kila simu nayopokea kutoka kwa ndugu na jamaa ni za kunililia shida tu Sijui watu huwa wananionaje mimi?Hapa nawazungumzia ndugu...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Kuna watu huwa waanamini maisha ya vijijini ni mepesi na bora kuliko mjini, sijui hizi fikra zinatokana na nini ila kwa ukweli ukiacha vijiji vichache vya mikoa kama ya Kilimanjaro, Njombe, Mbeya...
20 Reactions
96 Replies
3K Views
LILE sakata la msichana Morine Amatus (22), anayetajwa kuwa ni mtoto wa Amatus Liyumba, aliyekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi, akiwa na wenzake watatu, wakidaiwa kukutwa na madawa ya...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Isa 6:8 SUV [8] Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi. Baada ya kusafishwa kiroho kwa nabii...
1 Reactions
2 Replies
440 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…