Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bongo ni nchi ya trend sanaa🤣🤣🤣 Its crazy kwamba ina just overnight makalio ya mtu yanaweza mbadirishia maisha ila kuna jamaa konki kichwani tangu 2018 anasaka ajira na anapita aptitude na oral...
17 Reactions
99 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire ( Mwenye tisheti nyeupe), pamoja na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria Agapinus Tax (wa kwanza kushoto) wakipewa maelekezo kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
301 Views
Akina dada wanaofanya biashara ya kujiuza katika eneo la kaloleni jijini Arusha katika bar maarufu za Shivaz na Picnic wamevamia kanisa la nabii Geordavie lililopo Kisongo na kumtaka awapatie...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
Wasalaam JF, Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu...
14 Reactions
181 Replies
20K Views
1. ****** bar iliyopo arusha ndio inaongoza kuwa na wahudumu wenye makalio makubwa mpaka kusahaulika jina lake halisi na kuitwa ****** bar 2.macheni bar ndio inayoongoza kwa kuwa na machangudoa...
31 Reactions
351 Replies
171K Views
Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu Ni hivi,Asilimia kubwa ya changamoto zetu nyingi kiafya au kimaisha katika ujumla...
2 Reactions
2 Replies
343 Views
Siku kila taasisi au wizara ikifanyo mkutano,itasikia eti ni kikao kazi,kwani kokoje? Tofauti ya kikao na kikao kazi ni nini?
1 Reactions
4 Replies
291 Views
Kwenye statement ya benki naona kuna makato ya elfu 2 tu,
2 Reactions
8 Replies
745 Views
Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani . Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Hellow guys!! I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi nimeamka siku...
19 Reactions
40 Replies
2K Views
NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Structure ya uchumi ambao tunao sasa architect ni Rais benjamini William mkapa ni wazi mwaka huu mwaka 2025 tunatimiza miaka 30 tokea hii structure iweze kuwekwa kwenye utekelezaji., Tunafahamu...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana Jf. Kiufupi nipo kwenye wakati mgumu kwenye kufanya maamuzi kwenye hili. Msaada wa mawazo yenu ni muhimu sana katika hili. Kiufupi ni hivi, mimi ni kaka mkubwa katika...
8 Reactions
84 Replies
6K Views
Makamanda nipeni mrejesho. Mpiganaji kazikwa bila heshima.
3 Reactions
9 Replies
610 Views
Hahaha 😆
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June. Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common...
20 Reactions
259 Replies
10K Views
Nina ndugu yangu yuko kidato cha kwanza shule ya private ila leo karudi na barua toka shule kwamba kachuguliwa kusoma HKL kwa maana ya masomo ya ART na ni yuko kidato cha kwanza je huu ni mtaala...
2 Reactions
17 Replies
858 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…