Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona mkuu wetu wa nchi anatoa mamilioni ya fedha, mara knockout ya mama, mama goli la mama, mara achangie milioni kadhaa mfano juzi katoa kuchangia mili9ni 50 KKKT na si mara moja tunaona...
1 Reactions
7 Replies
392 Views
Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation...
12 Reactions
153 Replies
9K Views
KISA CHA SIMBA WA ALLAH (SWT) Wahshi bin Harb muuaji wa Simba wa Mwenyezi Mungu ambaye ni Hamza bin Abdulmtwalib (ra) ambaye ni ammi yake Mtume(saw) na ndugu wa Mtume(saw) kwa kunyonya. hebu...
0 Reactions
2 Replies
336 Views
Historia Fupi ya Wakristo na Druze wa Israeli Israeli ina makundi tofauti ya kidini ikiwemo Wakristo na Druze ambao ni wachache ukilinganisha na Wayahudi na Waislamu. Wakristo: Wakristo wa...
2 Reactions
11 Replies
973 Views
Wengi wanahisi kwa sababu ya press ya pole pole ndo maana wameufuutilia mbali
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Hata mvae nini, tabu ipo pale pale. Tabu ni asili ya mwanadamu katika dunia hii ya ushindani.
1 Reactions
1 Replies
373 Views
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa - Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533] -...
13 Reactions
75 Replies
3K Views
Kaaba, pia inajulikana kama Al-Kaaba al-Musharrafah, ni jengo la mstatili lililopo katikati ya Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia. Ina historia ndefu na ina umuhimu mkubwa katika Uislamu. Asili...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe. Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Habar za mda huuu wakuu Kwa watumiaji wa android Tv naomba kuuliza aiseh nmenunua smart tv na lengo langu nlikuw napenda kutumia Netflix ila kuna kipengele nikiwa nafungua Netflix inaniletea get...
0 Reactions
2 Replies
366 Views
Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi.. Nimeosha sana na Steel wire Ila bado nitumie njia...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Wananchi wa vijiji vya Tsawa na Tipri kata ya Gehandu wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamefurahishwa na kukamilika kwa daraja lililojengwa na kwamba baada ya kuteseka kwa miaka mingi na kusababisha...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Koala ni mnyama mdogo wa porini anayepatikana nchini Australia. Ingawa mara nyingi watu humwita "dubu koala", kwa kweli si dubu bali ni mnyama wa jamii ya wanyonyaji wa marsupial, wenye mfuko wa...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Je, ulijua kwamba fisi hupitia moja ya uzazi wenye maumivu na ugumu zaidi kati ya wanyama wote? Fisi jike ana anatomia ya kipekee ya uzazi—kile kinachoonekana kama uume ni kisimi kilichorefuka...
19 Reactions
57 Replies
3K Views
Ikiwepo tafadhali mtanijuza Updates zake.
3 Reactions
14 Replies
730 Views
Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Midomo yote itazibwa,masikio yote wasioamini watahisi dunia imetulia,macho ya wasioamini watapekecha ×2 kumuangalia shujaa wao kama kweli hayupo,lakini hawatamuona . Hilo ni anguko kubwa ni...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Ladies kuna njia nyingi za kujipa promo humu zaidi ya "ku-belittle" wanaume ili muonekane matawi fulani hivi. Anyway sishangai sana maana hamna masikini humu, kila kidume humu anatembelea crown...
5 Reactions
7 Replies
380 Views
Hivi, kwa nini watu wanaomuamini Mungu wakisoma posts za wasioamini katika uwepo wake, wanaumia na kuona kama kuna viumbe hawana akili. Wakati huo huo, wasiomuamini huyo Mungu, wanawaona wenzao...
8 Reactions
107 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa...
1 Reactions
57 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…