Huku Kondoa mjini hapa kunao wakandarasi wamepewa kazi za barabara ila sasa ni wiki ya pili wamemwaga kifusi barabara za mtaani na wamemwaga katikati ya barabara mpaka pikipiki hazipiti inaleta...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi ameielekeza Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dar es Salaam mpaka kufikia Jumatatu ya Julai 21, 2025 iwe imewasilisha...
Kuna mfumo ambao ulianzishawa wakati mifumo ya idara nyingi zinaweza kuwa sehemu zake ila nimeona sababu ya kushtuka sio kila mambo kuweka wazi.
Hii App Napa kwa mtindo ambao kama tutamaliza...
Habari Tanzania !
Mnataka mawazo ya vijana, ishi nayo hii wewe mwenye nguvu na mamlaka Tanzania.
Naomba kupendekeza kuwa; Watanzania wote wasajiriwe nchi nzima. Tuwe na data za taarifa zao...
Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za...
Maswa, Simiyu – Zikiwa zimepita takriban miezi mitano tangu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Maswa kuwahoji viongozi wa zamani na wa sasa wa Chama cha Walimu Tanzania...
Tarehe 15.07.2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko limefunguliwa Shauri la Uhujumu Uchumi lililosajiliwa kwa nambari ECC.17155/2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mh. Maila Makonya (SRM)...
Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud?
Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho...
Kwa jinsi karata zilivyochezwa walijua huyu jamaa atakuwa kama jina lake pole pole kumbe kawa kasi kasi sasa na mbinu alizotumia.
Usijeshangaa tanzania itagoma kupeleka balozi au hata mtu kwenda...
Ukiishi nchi za wenzetu, hakuna mafensi makuubwa ya nyumba labda kama ni nje ya mji. ila hapa kwetu na south, mtu anajenga nyumba na fensi ambayo hadi uingie unapata shida. mara aweke waya za...
Leo mitandao ilpata shida sana, ila naamini watendaji wa serikali wanafanya kazi kwa hofu, mfano TCRA kama wasingechukua hatua, wangeshughulikiwa, wala siwalaumu, wangeulizwa kwa nini mliruhusu...
Nimekuwa nikitazama umuhimu wa mitandao ya Kijamii katika nchi yetu, lakini bado tunatatizo kubwa Sana la uelewa wa baadhi ya watu. Kwamfano: mtu kauliza swali, "Kuna watu watatoa majibu mazuri...
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Fhamaz Trust kutoka nchini Uingereza imeahidi kuchangia mashine mbili maalum za kuzalisha joto kwenye chumba cha upasuaji katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi, Wakili Patrick Kipangula (kushoto) akimkabidhi Press Card kwa Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Radio cha Wasafi Media, Diva Gisele Malinzi.
Na Mwandishi Wetu...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mheshimiwa Paul Chacha, ameitaka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuendelea kuchukua hatua kali dhidi ya wananchi na wafanyabiashara wanaokiuka sheria kwa kuuza dawa na...
Na Mwandishi Wetu.
Mawaziri wa Mawasiliano kutoka Tanzania na Kenya wamezindua rasmi maunganisho ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano (NICTBB) wa Tanzania unaosimamiwa na Shirika la Mawasiliano...
Hapo kabla ilishazoeleka, wanachuo wakihitimu vyuo wanauza vitu kwa bei za kutupa mfano pasi, laptop, kitanda, godoro, mitungi ya gesi, n.k.
Leo hii nikiwa naongea na moja ya rafiki yangu ambae...
1. Watu wenye tabia za uoga
2. Watu wenye fikra za kimaskini
3. Watu wanaopenda kuzaa watoto wengi.
4. Watu wanaopenda kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi.
5. Watu wanaoamini...
Habari wanajukwaa!
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimepata nafasi ya kwenda nchi za ufalme wa united kingdom(Uingereza) kwa ajili ya mkutano wa kidini kupitia shirika la huko Uingereza...