Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa...
Habari wakuu,
Niwatakie heri ya sikukuu za Muungano, Leo katika hutuba ya Rais nimeskia amepongeza kuona mwanamke akiwa katika kikundi cha Bendera. Ifahamike kikundi hiki hakijawahi kuwa na...
sikiliza Jesus News Radio Jesus News Radio
Kila mwanadamu hupitia nyakati za maumivu ya moyo, iwe ni kutokana na kukataliwa, kusalitiwa, kufiwa, au kukosa kutendewa haki. Moyo uliojeruhiwa...
Kila nikipata daraja la Kijazi pale Ubungo kwenye mataa ndio sehemu pekee nawakuta bodaboda wanatii sheria ya taa za barabarani.
Nadiriki kusema ndio sehemu pekee yenye mataa ambayo bodaboda...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeamua kupunguza kutoa maoni au ukosoaji kuhusu uchaguzi wa nchi nyingine, isipokuwa pale tu kunapokuwa na sababu ya msingi inayohusiana moja kwa moja na...
Anachosema huyu mtangazaji wa hili Tangazo ni cha kweli kabisa kwa asilimia 95 na zaidi. Hizi issues zipo ila sijui kama zina dawa. Dawa nzuri ilikuwa ni kwa mwanamke kutulia tu. Wala asiwe na...
Kimsingi nimechoka kulea wajukuu yaani unakuta mtoto wako anapata mtoto anakuja kumbwaga kwa Babu au Bibi yake alafu yeye huyo nduki.
Imefika hatua mbaka tunasomesha watoto wenu nyie mnadunda tu...
Wakati naanza maisha baada ya kumaliza chuo niliendelea kukaa kwa miaka kama saba katika mtaa niliokua nimepanga wakati nasoma chuo.
Kwa miaka hiyo saba nilijuana na watu plus ma ex wawili...
Licha ya faida zitokanazo na teknolojia hii katika uchaguzi lakini pia moja ya athari inayoweza kusababishwa na teknolojia ya akili unde ni uwezekano wa kuenea kwa taarifa potoshi.
Video na sauti...
Wakuu kwema…
Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.
Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika...
2025 mambo yamekua mengi sana, haya tukumbushane.
Naanza:
Tafuta hela nyingine zote ni stori tu.
Acha roho mbaya, chochote kibaya utakachofanya kwa mwingine kitakurudia.
Usikimbie wanao na...
Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa...
🛫 Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa
Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana...
Hivi huu utaratibu wa ukoloni mamboleo na utumwa wa rejareja wa kuvalishana mawigi ya kizungu (blonde wigs) ni nini?
Hivi tuko huru kweli?
Na hii common wealth ambao ni muunganiko wa nchi...
Migogoro ni muhimu sana katika kuboresha mahusiano baina ya watu pamoja na kuleta heshima miongoni mwa watu.
Kuishi huku unatarajia kupata marafiki, au mwenza, au ndugu, mwajiri au wafanyakazi...