Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza...
0 Reactions
6 Replies
377 Views
Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!! Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa… Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
20 Reactions
39 Replies
3K Views
🍑🥒 Unakuta unaishi maisha roho iko juu juu, wengine wanatembea na vaseline mfukoni kwa maana unajua unatembea na mke wa mtu. Unakuta unanunua malaya ukipiiga tu unaanza kuwaza hela yako ya mfuko...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika nyumbani kwa Mrisho Mpoto Kijichi Dar es Salaam kumpa pole kwa msiba wa mke wake Bi. Mariam Ally uliotokea Julai 15, 2025 Julai 16. Mrisho Mpoto ni balozi...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Hivi ninyi viongozi wa Bajaji jiji la Mbeya mna matatizo gani? Sawa tumekubaliana kuwa madereva wote wa Bajaji tubebe Abiria Kwa nauli ya shilingi 800 kituo Hadi kituo,Sasa Kuna shida gani kama...
16 Reactions
58 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza kutoka Shule ya Sekondari Mtenga, Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, Samwel Kayoka (16) kwa tuhuma za mauaji ya mdogo...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa. Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔. Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha...
5 Reactions
18 Replies
679 Views
London / Dar es Salaam, 20 Julai 2025 – Benki ya CRDB imetangazwa kuwa Benki Bora Tanzania, Benki Bora kwa Masuala ya Mazingira, Jamii na Utawala Bora (ESG), na Benki Bora kwa Biashara Ndogo na za...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Hivi tukifufua kile kiwanda cha Matairi Arusha ambapo miundo mbinu ipo kwa pengine 50% na tukasema tairi zote za magari ya kawaida ya Serikali Mikoa yote wachukue pale na majeshi yetu pia...
2 Reactions
13 Replies
683 Views
Asilimia zaidi ya 99 ya dawa ambazo zinatengenezwa zinafeli kwenye stage mbalimbali nyingine zinafeli kwenye pre Clinical trials, nyingine kwenye Clinical trials nikimaanisha zinakuwa na Severe...
0 Reactions
3 Replies
236 Views
Setting ya movie hii ni mwaka 2169...wastani wa mwanadamu kuishi miaka hiyo baada ya kuzaliwa ni miaka 25 tu Kisha anafariki.. ‎ ‎Lakini walioweka mfumo huo walitengeneza pia teknorojia ya gharama...
0 Reactions
5 Replies
311 Views
Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine. Mimi ni kijana mwenye miaka 38+ naishi mkoa wa Shinyanga kunakosifiwa kwa wingi wa madini japo mimi pesa ya madini siifaidi kabisa pamoja na...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Imagine umepewa mafunzo ya karate namna ya kupigana, kukwepa ngumi, maeneo muhimu ya kumpiga adui na mbinu kama zote. (Picha kutoka mtandaoni Siku moja mtu anakuchokoza unaamua kumuonyesha wewe...
2 Reactions
0 Replies
276 Views
Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Top 20 hamna bilionea wa kenya hata mmoja shida nini hii nchi
0 Reactions
18 Replies
765 Views
Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Wakuu najiuliza kwanini mamlaka haziweki miundombinu vizuri Karikoo yote, baadhi ya mitaa miundombinu imechakaa kana kwamba pale si kitu cha Biashara nchini na nchi jirani. Barabara nyingi mbovu...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Na mstudy Lissu kwenye maabara yangu. Bado sijaelewa ni kiumbe wa namna gani... Hafanyi vitu vya ajabu sana lakini still bado ana nguvu kubwa sana ya watu wanao mpenda na kumkubali. Watu wa...
7 Reactions
4 Replies
411 Views
Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa...
4 Reactions
13 Replies
689 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange Julai 18, 2025 amefanya ziara ya kuagua maendeleo ya Miradi ya umeme ukiwemo wa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Zuzu hadi Mbande, Mradi wa...
1 Reactions
3 Replies
305 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…