Mimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my...
Mambo vipi wakuu?
Aisee kuna issue huwa inanishangaza sana. Hapa mtaani kwetu kuna wadada na wamama wengi tu waliobarikiwa kuwa na uwezo wa kumiliki magari, lakini cha ajabu hata akukute njiani...
Sio mzuri wa dini ila kuna maelezo yanaeleza hayo.
Unakuta kuna koo au familia yani wao kupata kazi ni kawaida ila wengine hata wafanyeje ni ngumu.
Nimeshuudia familia moja yani wao wote kama...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June...
Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa...
Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi.
Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi.
Baada ya...
HABARINI HUMU NDANI
Nataka nijiingize kwenye maswala ya utengenezaji wa batiki. naomba kujua soko lipoje na changamoto zake nizipi.pia Upatikanaji wa malighafi ukoje.
Nchi hii bado Kuna watu wa ovyo sana.
Mtu anakodi gari kwenda kufanya show off kwao mwisho wa mwaka ilimradi tu aonekane ana maisha mazuri...
Msururu wa magari private mwisho wa mwaka kwenda...
Kama wewe ndiye mpiga picha au ndugu yake,mtaniwia radhi kwa lugha kali jinsi hii.
Nimeona ukichagua picha za watu unaodhani hawaendani na mafundisho ya wasabato unazikuza ili watu waone vizuri...
Habari ndugu zangu!
Nina miaka mingi sana nimekuwa mtumiaji wa Barabara ya kawe, Kuna jambo moja silielewi na Lina mda mrefu sana.
Kuna Kisima pale cha Maji, kwa juu Pana mpira unapoteza Maji...
Kuna jamaa namshangaa baba Zima eti kazi linalofanya malipo laki na hamsini Kwa mwezi yaani kabisa unaaga familia Yako asubuhi kwamba unaenda kazini kutafuta maipo laki na 50 ndio maana Kila siku...
Kumekuwa na matukio ya aina yake ya mtu kudondoka chooni asipoparalaize mwili mdomo lazma upinde upande na wengine hadi hufa au huwa kilema kabisa kama akipona hivi hua nini kinachosababisha...
Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa!
Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye...
Ukijitazama on ur hands
(Katika mikono) na ukaona una herufi M fahamu wewe ni MTU wa kupanga watu na sio watu kukupanga .
Wewe ni wakutoa na sio kupewa
Wewe Una 6th sense
Wewe una Karama ya...
Huko nyuma wazazi wetu na wazee wetu waliishi na bibi zetu na mama zetu,hali ya kuwa wanaume ndio watafutaji na ilikuwa hivyo siku zote,wala hawakuhofia sijui sisi tukifa watoto wetu wataishi...
👉Sanamu la uhuru lilibuniwa na mchoraji wa kifaransa anaye fahamika kama Fiederic Auguste Bartholdi, ambaye ni Freemason maarufu anaye julikana vizuri.
👉Freemasonry ni Ufundi (Craft). Na Ufundi...
RAIS SAMIA ATOA BILIONI NNE UJENZI KIWANDA CHA KUZALISHA NISHATI MBADALA
📌Kiwanda kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa nishati safi nchini
📌REA kugharamia ununuzi wa mtambo wa STAMICO
📌Stamico...
Fikiria hii picha...
Miaka 40 kutoka sasa, umezungukwa na wajukuu, kichwa kimejaa mvi. Wanakuangalia kwa macho ya kizazi kipya wakiwa na smartphones zao, wakidhani hujawahi kuwa kijana — hujawahi...
Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran...