Cha kushangaza zaidi madhehebu haya yote kudai kuongozwa na "Roho mtakatifu" na husoma kitabu kimoja, (Biblia)ila hamna maelewano kuhusu Mungu wao, tatizo ni nini?
1. Mashahidi wa Yehova.
Wao...
Wasalaam,
Mwaka 2019 nilipanga nyumba mpya sehemu nzuri sana hapa jijini Daslaam nilichukua nyumba nzima kwa kodi ya laki 9 kwa mwezi. Nililipia miezi sita kwa cash na hiyo ilikuwa mara ya...
Habari wana JF
Kuna changamoto ya taa za kuongezea magari eneo la Serengeti (Temeke), Taa ya kuongoza upande wa usalama kuvuka kwenda keko, taa ya kijani (Green light) haiwaki kwa muda.
Watu wa...
Bandari Kavu ya Kwala iko katika eneo la Vigwaza Wilayani Kibaha-Mkoa wa Pwani, kilomita 15.5 kutoka barabara kuu ya Morogoro kwa kutokea katika Mzani wa Vigwaza na kilomita 105.5 kutoka Bandari...
Wakuu,
Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu...
Huduma hii ya mobile banking inayotolewa kwa ushirikiano baina kampuni hizi mbili kwa kiasi fulani imegeuka kero na zaidi ni huduma inayogharimu hela za wateja bila kujali mteja amepata huduma...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la Viwanda vingi huku kwetu maeneo ya Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Taarifa ambazo sio rasmi inadaiwa kuwa mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 57...
Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa...
Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3.
1. Jenetiki alizorithi
2. Mazingira aliyokulia
3. Mazingira aliyomo.
Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa...
Habarini wadau
Mimi nimejiuliza sana , kwann wavulana katika shule za serikali wavae kaptula? Mbona wasichana wanavaa sketi kuanzia chekechea mpk high school?
Mimi upande wangu naona kama kuna...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ametembelea Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) Makao Makuu Dar es Salaam leo tarehe 22 Julai, 2025...
MDAU
Mimi kama mwana chama wa ccm na kiongozi mwakilishi wa uvccm ngazi ya wilaya Bukoba vijijini ,
Natoa Rahi kwa Ndg KARAMAGI kuwa tabia zake za kuvuruga Jimbo letu la Bukoba vijijini...
Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi.
Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana.
Mtu...
NSSF WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
Tanzania National Social Security Fund (NSSF) wamempongeza sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Tukiwa Watumishi wa NSSF, tulisimamishwa kazi na kisha kufukuzwa kabisa bila Sheria kufuatwa, lakini ajabu ni kwamba wapo wenzetu ambao na wao walikuwa na makosa kaka sisi tuliofukuzwa lakini...
KAMPUNI ya Mawasiliano hapa nchini, Yas
imetangaza rasmi kudhamini Mashindano ya Ndondo Cup kwa mwaka huu wa 2025.
Yas na Mixx, inajivunia kuwa sehemu ya mashindano hayo ya kihistoria...
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na mfumuko wa frame za maduka zinazojengwa karibu kila pembezoni mwa barabara zote nchini iwe ndogo au kubwa, Kibaya zaidi watu hawa wamekuwa wakijenga hata...
RC ZAINABU TELACK: KASIMAMIENI KWA WELEDI MIRADI YA MAENDELEO
Na, Hilarry Shuma OR-TAMISEMI
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainabu Telack, amewahimiza Maafisa tarafa na watendaji wa kata nchini...
Habari JF
Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu
Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani
Pia soma ~ Mradi wa Maji...