Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa...
Kwa sisi tunaotumia usafiri wa mabasi kutoka sehemu moja kwenda nyingine, ni sehemu gani ambayo ukifika unaiogopa sana na gari likipita iyo sehemu unashukuru kupita salama?
Wakuu, kwema humu?
Zimepita siku kumi tangu nilipowaaga kwamba naenda "kugawa chakula" katika maeneo mengine ya dunia. Mimi nilifikiri akiba ya chakula niliyoiacha humu inatosha kuwafanya watu...
Kipindi vita inachezwa tulio mbali na uwanja wa mapambano tunadhani labda kuanzia asubuhi kazi ya wanajeshi ni kupigana tu risasi. Behind the scene ni mengi yanaendelea vita ni uchafu watu...
Wenzie kimeshawakuta kitu. Uanfishi wa habari wa kiuwanaharakati hauwavutii wenye mamlaka.
Ni vizuri achague moja. Uwanaharakati kamili au kuendelea na utangazaji.
Ni wazi anaipinga serikali.
Unajua kwa mfano kwa mikoa kama ya kwetu midogo Lindi,SINGIDA n.k huenda kuna siku inaweza kupita mtu hajafariki dunia monchwari nyeupe ila kwa matukio ya kusikitisha tunayosikia Arusha sidhani...
Siku chache baada ya Mwananchi kutoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuhusu njia ya Makongo Juu kuwa na uhaba wa Daladala mamlaka hiyo imetoa mwongozo ukiwataka Wadau...
Natumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana...
Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani.
Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na...
Utafiti wa IMF kuhusu Malipo ya Kidigitali - Sub Saharan Afrika, imeshauri kutotumia Crypto Currency kama fedha halali ya malipo. Suala hili linakuja wakati ambapo duniani Crypto Currency...
Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria...
Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi...
Mchakato wa kura za maoni kuwapata wagombea ubunge viti maalumu kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani Morogoro umekamilika, huku Lucy Kombani akiongoza kwa kupata kura 1,314 kati ya kura...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Kamati ya Halmashauri Kuu ya Chama hicho, imemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, @hajismanara , kuwa miongoni mwa wagombea watakao wania nafasi ya Udiwani...
Tanzania imepiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya.
Agizo hilo jipya linakataza wageni kushiriki...
Kama usimamizi madhubuti ukitekelezwa na zoezi likawa endelevu. Mzawa anaweza kuona matunda ya rasilimali na fursa zilizomo nchini kwake anaweza kunufaika. Siyo haya yaliyokuwa yanaendelea mchina...
Biashara haianzi kwa mamilioni, inaanza kwa uamuzi na akili ya kutoboa. Watu wengi mtaani wanabaki maskini si kwa sababu hawana hela, bali kwa sababu wanaogopa kuanza na kidogo. Unadhani kuanza na...