Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau hilo eneo siyo mbali na Barabara Kuu au Mbuyuni. Huko kuna kila aina ya sifa lukuki ukipanga kuishi huko jipange. Zamani palikuwa machimbo ya Kokoto na palipofungwa ndiyo wakajipimia...
2 Reactions
4 Replies
381 Views
Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea. Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui...
5 Reactions
83 Replies
2K Views
Hapo zamani za kale, kulikuwa na sungura mjanja sana na kobe mwenye busara lakini mwendo wa polepole. Waliishi kwenye pori moja lililojaa wanyama wa kila aina. Pori hili lilikuwa na sheria nzuri...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Katika hatua ya kusimamia Haki ya Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi za watu nchini, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeiamuru Kampuni ya MI CASA kumlipa Wakili Abdul Naumanga Milioni...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee........... Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania. HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana ...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Good Afternoon Everyone. Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router?? Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia...
17 Reactions
35 Replies
3K Views
Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia. Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda...
0 Reactions
3 Replies
607 Views
Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia. 1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent." Je huu mstari bado...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Uliza swali lolote hapo chini utapata jibu kutoka kwa wataalam wetu Asante sana LONDON BOY
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Watu husema: “Dini ni imani isiyo na ushahidi.” “Unaamini tu bila ushahidi wowote.” Lakini Uislamu unasema: Tazama. Fikiri. Tafakari. Sio imani ya upofu bali ni ishara wazi. "Hakika, katika...
5 Reactions
33 Replies
949 Views
wakati wa Nabii Suleiman bin Daud, kulikuwa na mchungaji wa kondoo wa Nabii Suleiman(a.s). Siku moja, mbwa mwitu alimjia na kumwambia: "Nipe kondoo mmoja!" Mchungaji akajibu: "Mimi ni mchungaji...
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Ni mwendo wa viuongo vya watu fulni kuchakalika kisawa sawa 😁😁 Mabaharia washanielewa. Anyway jipatie mzigo mwezi ujao, kwa wale ambao hawana uwezo baki hivyo hivyo sio lazima 😁
2 Reactions
34 Replies
1K Views
💤 Njia Asilia za Kupata Usingizi Haraka: 1. Ratiba ya Kulala Lala na kuamka saa ile ile kila siku, hata siku za mapumziko. Hii huisaidia saa ya ndani ya mwili (biological clock) kuzoea. 2...
2 Reactions
0 Replies
309 Views
Kwa Miaka mingi changamoto hii imekumba sana simu nyingi za smartphone unakutana na simu yako inaojitokeza mstari wa kijani, nyekundu au pink ghafla kwenye kioo chako shida ni nini ?? Changamoto...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Miaka ijayo Matumizi ya simu yatabaki kwenye kucheza games pekee, lakini mawasiliano yote yatahamishiwa kwenye mfumo wa kipekee unaitwa holographic Display. Hii ni Teknolojia ya kuweza kutumia...
5 Reactions
5 Replies
388 Views
Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Mabasi haya yapatayo 300, kwa sasa hayafanyi kazi, yamepaki tu bure huku abiria wa Kimara wakiishi kama wapo Somalia, inashangaza na kusikitisha, Rais hata aibu haoni.., anataka mitano tena, aibu...
0 Reactions
15 Replies
808 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…