Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

DR. BASHIRU~Nimekuta wizi wa kutisha kwenye chama chetu na wengine nikiwataja hamtanielewa. Wanajifanya ni waheshimiwa kumbe ni wezi, wameiba magari, wameiba ardhi. Ukiwaskia nje wanabwatuka...
11 Reactions
45 Replies
9K Views
Naomba kuuliza je? Haya makaburi ya kujengea uimara wake yatadumu muda gani? Mm nimeshuhudia maranyingi makaburi ya zege ila nina mashaka na uimara wa hizo zege mkumbuke kaburi ni la milele. Mm...
0 Reactions
4 Replies
384 Views
Personally. I agree with him. ( Nawajua nitaambiwa nawaonea wivu Diaspora. Kwa waafrika wengi kwenda kuishi Marekani au Ulaya is an accomplishment) Video here πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Hii imepelekea Kiwanda cha kupakia mkojo Wa ngamia kufungwa...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
=== Akiongea na wanahabari mkuwa mkoa wa Tabora amesekuwa Chini ya Rais Samia uzalishaji wa asali Tabora umeongezeka kutoka tani 1,800 mwaka 2020 hadi Tani 2,000 mwaka 2025 Kupitia filamu ya...
2 Reactions
15 Replies
552 Views
Marehemu baba yetu alifariki 2006 kipindi hicho Mimi nilikuwa Niko darasa la sita, baada ya kumaliza la Saba 2007 nilifanikiwa kufaulu kujiunga na kidato Cha kwanza, ila kaka yetu wakwanza kipindi...
10 Reactions
91 Replies
4K Views
1 Palikuwa na mtu, jina lake Yoakimu, akikaa Babeli, 2 naye ameoa mke jina lake Susana binti Hilkia, mwanamke mzuri sana na mcha Mungu. 3 Wazee wake nao walikuwa wenye haki, pia wamemfundisha...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kabla ya kuwalaumu wanasiasa kwamba wanawabeba ndugu au watoto wao kwenye nafasi za kisiasa au serikalini jiulize kama wanaobebwa wana sifa na vigezo kuwepo kwenye nafasi hizo. Binafsi ninakubali...
0 Reactions
3 Replies
282 Views
[Luk22:1]Ikakaribia sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Sikukuu ya Pasaka. [Mat26:3]Wakati ule wakuu wa makuhani, na wazee wa baraza, wakakusanyika katika a Kuhani Mkuu, jina lake...
1 Reactions
0 Replies
255 Views
Ni wiki sasa nimeweka kambi Dodoma kufuatilia hati za viwanja vyangu pale kwa maafisa ardhi jiji, urasimu ni mwingi, wanataka pesa, nikiwa DSM kuna mtu nilisema afuatilia baada ya mimi kufanya...
1 Reactions
14 Replies
727 Views
Disclaimer: Chapisho hili ni kwa madhumuni ya mjadala wa kujifunza na kuelewa tofauti za maendeleo ya kiuchumi kwa jamii zetu, bila kuleta chuki, kupotosha au kushambulia. Ni jambo lililo wazi...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
== Katika taarifa yake kwa wanahabari mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Alfred Mtambi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imekamilisha ujenzi wa soko la kisasa katika Halmashauri ya Mji wa...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
Hadithi zake zina mafundisho ila leo ameanza hadithi mpya. katika pitapita zangu nimekutana nayo ila maudhui yake hayendani na tamaduni zetu, Mtoto wa form one ana rafiki mzungu mara wana pigiana...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Vijana zaidi ya 200 kutoka mikoa mbalimbali nchini wamekutana leo, Agosti 11, 2025, katika Makumbusho ya Taifa, kwa ajili ya uzinduzi wa Ilani ya Vijana 2025/2030. Ilani hiyo inalenga kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
πŸ—―οΈ Kuna tetesi zinasema toleo jipya la Simu toka Google yani Google pixel 10 series hazitakuwa na sehemu ya kuweka Sim Kadi kabisa. πŸ—―οΈ Simu mpya za Google pixel 10 series wameamua kuwekeza nguvu...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Mwamba alivyochomoka tu akarudi kudeal na ngada, akamkopesha mtu ngada ya thamani $1200, akashindwa kulipa, mwamba akaamua ammalize..
1 Reactions
9 Replies
475 Views
Pablo, Kwenye maongongezi yake na mwandishi wa uingereza alipata kusema kama hautofanya tenda haramu au halali na serikali au mamlaka utajiri utausikia kwenye taarifa na zaidi utapata pesa ya...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Nilikuwa najiuliza swali hivi hao gen z huwa wanapanga wapi mambo yao? Je ni kikundi kinacho fadhiliwa na kigogo fulani? Nani Yuko nyuma yao. Je chai zinazo gawiwa kwa gen z ni kigogo ndo...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kusomesha Watoto kwenye Shule za Gharama Kubwa – Ulimbukeni, Kuendana na Wakati, Faida au Hasara? Katika jamii nyingi za Kitanzania leo, kuna ongezeko kubwa la wazazi wanaowapeleka watoto wao...
3 Reactions
9 Replies
875 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…