Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Nimekutana na hii clip ya wanawake wa Katavi wakilalamika kuwa wakati wanawake wanaamka asubuhi kwenda shambani kufanya kazi, wanaume wanafanya tofauti. Wanawake wanasema kuwa wanaume...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Mt 7:12 SUV Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii. https://youtu.be/nge-eSSieQk?si=AxwY78gCwWhV1ZCg
2 Reactions
0 Replies
118 Views
Leo nimebahatika kupigiwa simu na rafiki yangu wa siku nyingi sana wa kijijini akanisimulia kisa na kuniuliza maswali ambayo sikuwa na Majibu. Kijijini kwao kiongozi weo alikuwa anaitwa Kifungo...
1 Reactions
6 Replies
474 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshusha kiwango cha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa biashara ndogo kutoka asilimia 18 hadi asilimia 16, ili kuhamasisha ukusanyaji wa mapato kupitia malipo...
2 Reactions
73 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam. Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani...
1 Reactions
8 Replies
554 Views
Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana. Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya...
73 Reactions
246 Replies
7K Views
DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA. Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Huu uzi nauandika kwa masikitiko makubwa sana! Tanzania Umeme Umekuwa ukikatika tangu miaka 60 iliyopita, hadi leo umeme bado unaendelea kukatika na natumai miaka 50 ijayo ukija Tanzania utakuta...
4 Reactions
7 Replies
646 Views
Barabara ya kimara - ubungo mwanzo walikuwa wanapiga kazi hadi usiku ukipita unaona mataa watanzania tukasema hapa kazi tu kweli pilika pilika fasta fasta ila miaka nenda rudi huu mwaka ni watatu...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Pete hizi naona wanavaa watu wa tasnia karibu zote kuanzia wachungaji, wavuta bangi mtaani, wasanii, wanasiasa, matajiri, masikini, watu wenye imani za mashariki ya kati. Inavyoonekana hazina...
8 Reactions
122 Replies
30K Views
Ni jambo la kusikitisha kwamba tangu mwezi wa February hadi sasa, fedha za kujikimu kwa watumishi wapya hazijatolewa. Kimya kimya, fedha hizi zimezuiwa, na kila jaribio la kufuatilia huambulia...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai...
1 Reactions
2 Replies
743 Views
1/ Nchi fulani, mvua inanyesha kwenye paa lililovuja, lakini mwenye nyumba anajisifu kununua mwamvuli mpya kwa marafiki zake. 2/ Wamepanda miti mingi ya kivuli katikati ya jangwa, lakini...
9 Reactions
10 Replies
762 Views
Hivi karibuni wamejitokeza watumishi waliojaa kiburi mithili ya shetani mwenyewe. Mtumishi anathubutu kusema ukiniwekea pesa hapa na mbingu nachagua pesa. Kwamba amestuka mbinguni hakuna issue...
1 Reactions
7 Replies
417 Views
Wakuu wale wadau wa hiphop hebu andika amri moja hapa kutoka katika hii ngoma na uielezee unavyoweza kuitumia katika maisha yetu ya kila siku.Najua jamaa aliimba kuhusu 'Crack' ila hizi ni sheria...
1 Reactions
2 Replies
280 Views
Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza...
11 Reactions
105 Replies
5K Views
Hawa watu , they are poor. And they will die poor . Materials things like Car, house is nothing ikiwa una akili ya kimasikini.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni zaidi ya siku 20 zimepita tangu dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Deogratius Shirima (34) mkazi wa kata ya Korongoni wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, kudaiwa ametoweka katika...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…