Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendesha zoezi la Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Dar es salaam Manispaa ya Ilala Kata ya Kivule na kutoa Hatimiliki kwa wananchi ambao wamekamilisha...
Mtakatifu MARIA GORETTI
Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano...
Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la...
Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la...
Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya...
Habari wanandoa!
Sina maelezo mengi, kichwa cha habari kinajieleza.
Kwa kuwa uelewa wangu si mpana kwenye mambo ya kodi hapa Tanzania, ningependa kujua kama B 100 za harambee ya CCM kodi...
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu ameuta uongozi wa Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati kulipa haraka malipo yaliyocheleweshwa ya Wakulima...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT-2) pamoja na miundombinu ikiwemo kituo kikuu cha mabasi hayo...
Hivi karibuni, nilienda kijijini kwetu Ngangu kilichopo Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi Vijijini kwa nia ya kusalimia ndugu na jamaa. Ni karibu mwaka mzima umepita tangu niende huko mara ya...
Dar es Salaam: Benki ya CRDB hivi karibuni ilizindua ‘CRDB Al Barakah Sukuk,’ hatifungani inayokusanya fedha ili kuwezesha biashara bila riba nchini na ukanda wa Afrika Mashariki kwa ujumla...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche na wanachama wa chama hicho, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kesi...
🔵 1. Mabasi Yaendayo Kasi (BRT)
Faida:
Gharama nafuu kulinganisha na kujenga reli – barabara za kawaida hubadilishwa tu kuwa njia za BRT.
Utekelezaji wa haraka – BRT inaweza kujengwa kwa...
SHUSHUSHU NI NANI?
"Shushushu" ni jina lisilo rasmi linalotumika kumwelezea Afisa Usalama wa Taifa wa Tanzania. Kwa lugha rasmi:
Ni afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania Intelligence and...
CHANZO CHA LAANA YA WATU WA UKOO WENU KUFA MAPEMA KABLA YA UZEE. UKOO WENU KUKOSA WAZEE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna baadhi ya familia au koo ni Jambo la kawaida watu Kufa kabla ya...
Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, imeahirishwa kwa mara nyingine tena katika Mahakama ya Wilaya ya Meru na sasa...
Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa.
Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 .
Kuna karama
Kuna huduma na
Kuna kipawa.
Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza...
Habari za mida wakuu..
Mi nna changamoto moja kwa upande wa RITA verification number. Nmeingiza taarifa zangu mhim na kwa usahihi zaidi ya mara 2 lakini nikishamaliza na kuletewa control number...
Hello
Waumini wa huyu pastor wenu pitozi anaitwa PT.
Sijui Tony wa Kapola naombeni mjitathmini sana.
Sipo hapa kumsema Wala kupinga huduma yake
Ila kwanini muda mwingi wa mahubiri yake umekuwa...
Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya...