Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe Fredy Azzah na Fidelis Butahe MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ambaye jana aliruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha...
0 Reactions
2 Replies
394 Views
Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
"Kwa muda mrefu nimejitofautisha sana. Maana yake, kama ningekuwa pandikizi tu, si ningekuwa nashangilia haya mambo? Kama ningekuwa pandikizi, hata huko CCM ningekuwa nashangilia kama wale...
1 Reactions
1 Replies
218 Views
TZLPGA inapenda kuonya kuwa kupuliza gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) kwa kinywa kupitia mpira ni kitendo hatari na hakiruhusiwi. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha gesi kuwaka, mlipuko, au...
1 Reactions
5 Replies
397 Views
Watu 1,000 wamenusurika kifo baada ya stoo ya kuhifadhia mafuta ya petroli kulipuka na kuteketea kwa moto katika Kisiwa cha Benzi, Kata ya Kayenze, wilayani Ilemela mkoani Mwanza. Kaimu Kamanda...
1 Reactions
0 Replies
525 Views
Dar es salaam Wakazi wa Kivule jijini Dar es salaam wameipa kongole Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuwasogezea huduma karibu katika eneo hilo kwa kuendesha Kliniki ya Ardhi na...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Polisi Mkoa wa Njombe imetoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ackrey Philipo Ngole(26) Mkazi wa mtaa wa...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025 Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu...
1 Reactions
5 Replies
437 Views
Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa. Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo...
2 Reactions
6 Replies
638 Views
Gari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wilayani Hai, baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
13 Reactions
133 Replies
9K Views
Usitake watu wengine wawe kama ww ulivyo , kila mtu amekulia ktk mazingira yake , ana mapito yake , uzoefu wake , heshimu utofauti wa wengine . Mtu yeyote mgeni kwako mpe muda wa kumsoma tabia...
1 Reactions
0 Replies
180 Views
Pastor Tony Kapola akiwa kwenye ibada jioni ya jana Agosti 7 amewajibu waliobeza muujiza wa kupuliza gesi ikajaa na kupika wiki 2
14 Reactions
302 Replies
11K Views
Rabbit 🐰 in Colorado have been spotted with black coloured growths resembling tentacles protruding from their heads. The virus on spreads among rabbits, primarily by biting inserts like fleas and...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Huko Shinyanga watu takribani 25 wamekufa kwa kufunikwa na kifusi. Hii si mara ya kwanza. Inatokea mara kwa mara. Na vifo vingine hata kwenye vyombo vya habari havitangazwi. Watu wa migodoni wana...
3 Reactions
6 Replies
586 Views
Ni vyema polepole aandamane na familia yake kudai au kupinga hayo anayoeleza wakiuwawa ndiyo tujue kweli ccm wamebadilika na viongozi wake wameamka sasa
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Kijana William Mbise (28), mkazi wa Wilaya ya Arumeru, Kata ya King'ori, Kijiji cha Kirenga, amepoteza maisha kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuchapwa fimbo 70 kama adhabu ya kimila iliyotekelezwa...
1 Reactions
7 Replies
777 Views
Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa...
0 Reactions
5 Replies
621 Views
Habari , kwa mliwahi pitia hii hali comedian Tom Daktari kapitia mnazungumziaje level of trusting colleagues. https://youtu.be/weyJaQlchV8?si=W4MHw5DiFsmeuVUQ
1 Reactions
1 Replies
265 Views
Wakuu naitaji msaada wa database au pdf ambayo ina majina ya kampuni za Tanzania na vitu inavyozalisha
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…