Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Isa 39:6 SUV [6] Tazama, siku zinakuja, ambazo vitu vyote vilivyomo nyumbani mwako, na hivyo vilivyowekwa akiba na baba zako hata leo, vitachukuliwa mpaka Babeli; hapana kitu cho chote...
0 Reactions
8 Replies
410 Views
Kikawaida kwa mujibu wa sheria Mkuu wa ujasusi wa nchi husika au wakati mwingine Chief of presidential staff anawajibu wa kupeleka taarifa nyeti na za muhimu kwa Rais. Lakini hawa hawa wakuu wa...
6 Reactions
13 Replies
697 Views
Siasa wafanyie wabongo lala, leo hii jiwe angekuwa kuwa hai tusingemaliza bando zetu kuangalia ma press yao hao, wangekuwa kimya regardless changamoto za hapa na pale. Ndio wana point ila ni za...
1 Reactions
14 Replies
550 Views
Hivi wewe mtoto wa kiume straight unakuaje Inspired wa mafanikio kutoka kwa Mwanamke au Shoga. Yani unakuta mwanaume kabisa anasema anatamani kuwa pesa na magari kama Jenifa yule muuza nguo Sinza...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Ni ujinga wa hali ya juu kama unaishi na Kulala sehemu nzuri hali ya kuwa wazazi wako waliokupambania mpaka kufika hapo wanalala kwenye dhiki. Wanalala chini Kwenye Godoro kama ulimi wa mbwa...
3 Reactions
21 Replies
820 Views
Usibebeke kwa trend wala mihemuko, bebeka kwa facts na guts zako.
1 Reactions
2 Replies
152 Views
Yeah , kujipendekeza kwa watawala, kushangilia mafisadi wakitumia pesa hovyo na hata kukubali kuhongwa baiskeli,pikipiki n.k ambazo obviously zimenunuliwa kwa kodi zetu tunazokamuliwa kila...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
UBINADAMU NI AMANI HISTORIA NI VITA. ebu chukua picha yako ya utotoni ujiangalie ulivyokuwa mdogo na ujiulize kama misimamo yako ya sasa ya kidini, itikadi na ukanda ilimaanisha chochote muda...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Manabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na...
1 Reactions
7 Replies
441 Views
Waislamu akili zao bhana ety yesu ni Issa wakat hawa ni watu wawili tofaut kabisa yesu alizaliwa na bikra Maria isa mama yake sijui nani Yesu alikuwa myahudi issa mwarabu Yesu alizaliwa kwenye...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Nguvu ya Kicheko kwa Afya Yako Je, unajua kwamba kicheko siyo tu ishara ya kufurahia jambo? Utafiti unaonyesha kuwa kucheka husaidia kupunguza msongo wa mawazo, kuimarisha kinga ya mwili na...
0 Reactions
1 Replies
521 Views
Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM. Sisi raia ambao...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Habar zenu wakuu. Naombeni msaada katika hili. Nimepata bahati ya kupata rafiki anaeishi kanada. Tumekuwa tukiwasiliana kwa muda mrefu kidogo. Sasa imefika wakati anataka kunialika nikamtembelee...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!" Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
LINDA MTOTO WAKO DHIDI YA USODOMA Sawa unaweza kubeza au kutukana huku ukisema kuwa we ulijuaje bila ya kwenda kuwatafuta? Ila ndugu yangu hauwezi ijua hii east africa kama umekaa kwenye kochi la...
2 Reactions
5 Replies
371 Views
Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga, amesema Tanzania kwa sasa inashikilia...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini? Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo...
3 Reactions
1 Replies
273 Views
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof Mkenda Akiwa na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam life Insurance Ndg.Julius Magabe Tayari kwa Uzinduzi wa Kampuni ya Sanlan...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Je hawa wawili kabudi na hamis Kigangwala walipita kura za maoni majimboni mwao kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM?
2 Reactions
9 Replies
588 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…