Pensheni ya wastaafu waliowahi kuwa na vyeo vya chini haijaongezwa hata mia, inamaana nyongeza ya mishahara iliwalenga waliopo makazini tu. Kwanini waziri wa fedha alitanganza kuwaongezea na wao...
Kutokana na tuhuma alizotoa polepole jana, zimenirudisha nyuma kidogo kiasi cha wiki mbili hivi.
Hawa wasambaza gas za Taifa Gas mitungi midogo ambayo wanatoa kwa bei ya offer ghafla saba...
Kwakweli nimepata experience mbaya na BRELA. Kujisajiri kwenye mfumo wao ni tabu. Nimewatafuta kwenye mitandao ya kijamii pia hawatoi msaada. Nimeamua kuwapigia. Ila wakisikia tatizo langu...
Haya ndo mambo ambayo yananishangaza kuhusu Dennis Roberts
Jamaa ametangaza nia ya kutaka urais ilihali ana miaka 33 ni jambo la kuchekesha ila la kufikirisha hasa ukimsikiliza anachoongea labda...
“Wakati mwingine unafika sehemu maisha yanakuonesha sura yake halisi. Nimekuwa nikipambana kuinusuru biashara yangu bila mafanikio, rasmi nimefilisika Sina Msaada Kwa mtu yoyote, hakuna mtu mbele...
"Binadamu anaamini Ukimpa pesa ndo Unampenda"
Ila kiuhalisia Unakua umemnunua indirect seles, na wapo wanaouza Direct sales.
Kwa ufupi Wote Wanauza ila wametofautina style ya kuuza tu.
Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo.
Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa...
MASHINDANO ya Selous Marathon yaliyofanyika Agosti 23, 2025 kwa mara ya saba mkoani Morogoro, yameendelea kuvutia maelfu ya washiriki na mashabiki.
Miongoni mwa washiriki ni Yas na Mixx ambao...
Nyoka wa Boomslang anajulikana kwa sumu yake kali sana, inayojumuisha hemotoxins ambazo huzuia damu isiweze kuganda. Kung'atwa na nyoka huyu kunaweza kusababisha kupasuka kwa mishipa ya damu hivyo...
KAMPUNI ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za kifedha za kidigitali kwa kuzindua kampeni ya Kila Hatua Mixx jijini Dodoma.
Hatua...
Habari wakuu
Sasa hivi kuna kampuni nyingi za fiber connection ambazo maeneo kama mwananyamala zipo. Mfano TTCL(wanazingua kukufungia),Savanna fiber and airtel fiber.. jsasa nimehamia maeneo ya...
Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu...
Thomas Allen McCartney, mhalifu wa kingono huko Louisiana, Marekani, amekubali kupitia upasuaji wa castration (kukata korodani) kama sehemu ya makubaliano ya kukiri kosa.
Haya yamejiri baada ya...
Ifikapo 2034 80% ya watanzania watakua wanatumia nidhati safi ya kupikia .asema Raisi wajamhuli ya muungano wa Tanzani Dr Samia suluhu hassan.
#Tunmjua.
Ukweli ni kwamba Kuna ongezeko la kutisha za pombe aina mbali mbali za makopo pamoja na zile za kupima ambazo hazina viwango.
Kutokana na ugumu wa maisha makundi yote nikimaamisha vijana Kwa...
Gated community ni jumuia ya makazi yenye uzio au ukuta wa pamoja na mageti yanayodhibitiwa. Hakuna haja ya kila mtu kujenga uzio wake, kwani usalama uko wa pamoja.
uzuri wa gated communities...
Isa 46:5 SUV
[5] Mtanifananisha na nani, na kunisawazisha naye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawasawa?
Waisraeli walikabiliwa na ushawishi mkubwa wa ibada za sanamu, hasa wakiwa uhamishoni...
Mimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele"...