Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://youtu.be/9zjBfqx1E9E?si=tRVVlcDNCgoNkbdJ Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi, Na Nyumba la Wilaya Dodoma, Mhe. Omary Mbega, kupitia ABM FM radio 91.2 Akielezea Wajibu wa mdhamini katika dhamana...
1 Reactions
1 Replies
38 Views
Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Watu mbalimbali, wakiwemo...
4 Reactions
11 Replies
431 Views
Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi...
10 Reactions
10 Replies
107 Views
1. Huyu mwamba achunguzwe vizuri usikute anasajilli watu kwenye vikundi vya uhalifu mitandaoni (Scammers) au mapenzi ya jinsia moja. 2. Mtu haelewek anafanya shughuli gani za kiuchumi ila...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari, Mimi ni mteja wa mtandao wa Airtel. Takriban wiki moja iliyopita, nilianza kupokea ujumbe unaonitaarifu kuwa namba yangu itafungwa. Ninapompigia mtu simu, ujumbe unaonekana ukisema kuwa...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Wakuu, nadhani mmeiona hii habari inayotrend mitandaoni kuhusu taarifa za kifo cha mfanyabishara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo. Taarifa za awali zinasema helikopta yake imeanguka maeneo ya...
7 Reactions
26 Replies
769 Views
🌙 SAIKOLOJIA YA JIONI | R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST Usimalize siku ukihukumu nafsi yako kwa makosa ya leo. Kila siku huja na changamoto, maamuzi, mafanikio na wakati mwingine makosa...
1 Reactions
5 Replies
76 Views
Anonymous
Kwa kuwa kila siku magari yanapita katika mizani mbalimbali, kuna changamoto inayowakabili madereva na wamiliki wa magari ya mizigo. Unaweza kupita mizani A, ukaambiwa umezidisha uzito na kupewa...
1 Reactions
0 Replies
35 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amebadilisha rasmi jina la Artificial Intelligence (AI) kuwa “Super Intelligence (SI)” baada ya kusaini Executive Order tarehe 29 Septemba 2026, inayozielekeza...
2 Reactions
10 Replies
157 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema inaendelea kuchunguza ukwepaji kodi kupitia udanganyifu wa taarifa za magari, ikiwemo aina, modeli, mwaka wa kutengenezwa na thamani ya gari. TRA imesema...
3 Reactions
2 Replies
257 Views
Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani...
0 Reactions
1 Replies
38 Views
Unajua kuwa leseni yako ya udereva ina pointi 15, ambazo zinaweza kupunguzwa kutokana na makosa ya barabarani? Hapa Advocate Witness Manase anaeleza zaidi namna unavyofanya kazi Kwa mujibu wa...
1 Reactions
4 Replies
175 Views
Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa...
10 Reactions
59 Replies
544 Views
Au sio mambo yenu wana JF? Ndo talk of the nation kwa sasa.
1 Reactions
29 Replies
156 Views
Kulingana na vyombo na utabiri wa hali ya hewa, uwezekano wa mvua za El Nino kutokea ni 100%, iki maanisha kwamba iko hapa tayari, sasa ni kuanza kumwagika tu. Tuliambiwa tutegemee mvua hizi...
8 Reactions
9 Replies
307 Views
TRA : "Ukwepaji kodi na Udanganyifu" MACHAWA : " Tra yabaini Utofauti" Katika hali ya kusikitisha , jumamosi usiku Palm BEach Cassino iliyopo Upanga Mashariki Dar es salaam, alionekana mbunge...
14 Reactions
69 Replies
1K Views
Siamini katika mafanikio ya mkato wala miujiza ya mtandao; ninaamini katika uhalisia, jasho, na misimamo isiyotikisika. Ninaandika kile ninachokiishi na kusimamia kile ninachokiamini. Kwenye...
0 Reactions
4 Replies
48 Views
Kwanza nianze kwa kuwashukuru kwa kupata muda wa kupitia UZI huu. Chamsingi zaidi ni kutaka kuweka bayana kuwa kwasasa hamna namna inabidi tukubali tu msanii Diamond mtoto wa tandare ndio msanii...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Ili kuzima swala la CCM na Nchimbi mnaweza kushangaa kila jambo mpaka mkuu wa mkoa kafanya makamo wa raisi. Hii code inalenga nini na mada zao na mtashangaa jambo la Zanzibar kuwa utawala wa...
2 Reactions
3 Replies
144 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…