Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku za nyuma kidogo nilieleza jinsi waanafunzi wanavyochaguliwa vyuo vya kati hasa vya Afya isivyo kuwa na utaratibu mzuri. Nikaeleza kuwa vyuo hivyo vinachukua wanafunzi wenye points 10 mpaka...
1 Reactions
1 Replies
411 Views
Yaani nina karo la maji nimechimba chini nimeunganishia gutter zote za nyumba na maji ya kisima chani nimetoboa , na hili karo linajaa maji lita laki 3 Sasa nina ma tank 2 juu nimeweka ya lita...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
1. Utamfanya huyo unaye mwamini asikutendee ubaya wowote 2. Utabadili tabia ya huyo unayemwamini. 3. Unapowaamini watu nao watakuheshimu hukuza thamani,ukikiamini kitu unakiongezea thamani. 4...
3 Reactions
7 Replies
403 Views
Habari ndiyo hiyo. Ile akili iliyotaka kujenga bandari Bagamoyo imetuma tena ujenzi bandari Kizimkazi. Lengo na nia ni kujiimarisha kiuchumi kwa watawala. Watoto wa Nyerere na Magufuli nadhani...
0 Reactions
7 Replies
773 Views
Wale wajenzi na mafundi, tafadhali tusaidiane katika hili. Mara nyingi huwa mnapanda juu mkibeba mabegi na waya zetu za wiring. Swali langu ni: kule juu huwa mnafanyia nini na hayo mabegi? Na je...
3 Reactions
9 Replies
780 Views
Kuna jamaa anadai ameiokota sa 7 usiku wakati nimeibiwa nyumbani kwangu, anadai nimpe 25000 ili anirudishie leo siku ya 2.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanabodi wasalaam. Kibali changu cha uhamisho kimetoka japo kimekosewa kwenye kada. Mimi niko idara ya afya na kibali changu kimetoka kikiwa kinani'refer Kama mwalimu. Nifanyeje? Msaada wanandugu.
0 Reactions
12 Replies
574 Views
guest-1787677786
Binafsi, nimekaa na kukumbuka harakati za kimaisha na jinsi nilivyokuwa milionea na kufirisika na kuwa Kapuku. Nilikuwa nina duka la Pembejeo za Kilimo pale Makambako nikiuza pembejeo za kilimo...
33 Reactions
185 Replies
9K Views
Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari? Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu. Ni me...
2 Reactions
6 Replies
816 Views
Mwana JF... Kwani nini unapenda? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Miaka ya elfu 2 kumi kulikuwaga na mzee mmoja mtaani kwetu nyumbani kwake alikuwa ana banda ameajiri vijana wanafundisha English kwa watu mbalimbali na matangazo yake y alikuwa ya kubandika kwenye...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya...
0 Reactions
2 Replies
686 Views
Habari wadau,binafsi nimemskiliza sana bwana Haphley Pole pole juu ya mambo yanayoendelea nchini kuhusiana na utawala uliopita na huu wa sasa wa Samia. Bila kumpinga wala kumkubali jamaa atueleze...
3 Reactions
8 Replies
496 Views
https://www.instagram.com/reel/DNzqOD_UrIt/?igsh=MXRscThhYmkwbmJkbQ==
1 Reactions
1 Replies
539 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma M. Abdallah, aliwasilisha mada kwa Wenyeviti wa Bodi na Wakurugenzi Wakuu wa Taasisi za Umma. Katika wasilisho lake, Bi. Abdallah aliwataka...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato...
48 Reactions
170 Replies
7K Views
Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza? a). Ambulance b). Gari ya zimamoto c). Kiongozi wa Serikali d). Watajipanga wenyewe? Soma pia: Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi...
2 Reactions
12 Replies
943 Views
Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu...
2 Reactions
0 Replies
521 Views
๐— ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ด๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜‡๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ "๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ท๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ" Inawezekana ikawa story mbaya kwa wale wapenzi wa vifaa vya Nokia ulimwenguni baada ya Ceo kuongea...
1 Reactions
1 Replies
590 Views
Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi? Ayubu 11:7 Kila mtu amejiuliza maswali haya, aidha kwa sauti au moyoni mwake, kwa maana hatuwezi kuutazama...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ