Faida za kuaminiana katika maisha

Faida za kuaminiana katika maisha

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,548
Reaction score
59,386
1. Utamfanya huyo unaye mwamini asikutendee ubaya wowote

2. Utabadili tabia ya huyo unayemwamini.

3. Unapowaamini watu nao watakuheshimu hukuza thamani,ukikiamini kitu unakiongezea thamani.

4. Utapunguza msongo wa mawazo.

5. Kusaidiana Bila Kinyongo pale changamoto inapotokea

6. Huongeza umri wa kuishi.

7. Hupunguza kiwango Cha kulipiza kisasi.

8. Huongeza uwezo wa ubunifu na uzalishaji.

9. Huimarisha mahusiano kijamii.

10. Hukuwezesha kutokata tamaa.

Note: Uaminifu ni kama pesa, ngumu kuipata rahisi kuipoteza.
 
Inaonekana bado uko chini ya uangalizi wa wazazi bado dunia haijaku-introduce kwa binadam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom