Hii ngoma bado haijavuja au safari hii wamekuwa makini kuliko miaka ya nyuma ambapo majedwali ya viwango vipya vya mishahara na makato kama PAYE huvuja?
Mara nyongeza ni shilingi 10,000 au 20,000...
Wana JF,
Leo katika kusherekea siku ya wapendanao, gari la mbunge Mh. Angela Kiziga limepata ajari, gari hilo lilikuwa linaendeshwa na mtoto wake wa pekee akiwa na mpenzi wake. Chanzo cha ajali...
Unapewa usaini karatasi ya BIMA halafu baada ya hapo unapewa dawa pungufu ya zile zilizo andikwa kwenye fomu ya bima au vipimo na wengine wanaenda mbali wanakwambia sehemu ya tarehe usiijaze na...
Kuhusu Afrika.
Kichwa kisomeke "Mbwa wanaopigania Mifupa "
Wahusika wawe:
1.Wanasiasa.
2.Wachumi Wabobevu.
3.Taasisi za Kidini.
4.Mataifa Makubwa.
5.Taasis za kuzuia Rushwa.
6.Raia Waoga
Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua
Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya...
Maana kuna mdau amesema yeye kapeleka cheti sehemu usika ajabainisha ni polisi au tra lakini sasa iyo ipoje naona kama ni hivyo utakua utaratibu mpya ama wajuzi tujuzane kunitoa kwenye sinto fahamu
Kuna uovu unaendelea kwenye halimashauri ya bagamoyo na wizara ya ardhi ambapo kuna watendaji wanabiashara ya siri ya uchuuzi wa viwanja kwenye maeneo ya wananchi kwa kutumia migogoro hasa ya...
Kuweka kampuni nyingi ila tunaweka DMZ ili kutosumbua wapuuzi wa CCM wenye cable zao hapa JF.
Hivi nyie mnaosifu mama zenu mnajua soko la madini mfano Dhahabu kwa nini inapanda bei au uchumi wenu...
Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa
Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani...
Habari wakuu.
Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a...
Vifusi vilivyopo katika mitaa tajwa hapo juu vimekuwa kero kwa wananchi wa mitaa hiyo kwani ndiyo barabara kuu waitumiayo kwenda Hospital ya Wilaya, Frelimo katika manispaa ya Iringa. Vifusi hivyo...
Wakuu,
Yaani ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ina-propagate hii idea ya Uchawa ionekane ni kitu cha kawaida.
Hivi karibuni wameanzisha tuzo za wachekeshaji na ndani yake wanaweka kipengele...
Jana nilitoka nje ya wilaya niliyopo kwa ajili ya jambo flan flan, sasa wakati nikiwa huko ugenini mwenyeji wangu alichelewa kunifuata baada ya kumsubiri kwa muda alikuja.
Basi akasema amechelewa...
Rostam ni mfanyabiashara na ili uwe mfanyabiashara unayetaka ufanisi na biashara zako lazima utafute opportunities ili kukuza mtaji (profit maximisation).
sasa kuna nongwa gani Rostam akiwekeza...
Hawa watu sijui ni utoto ama nini? Kweli CCM hawa ndiyo Wanajeshi wenu wa mtandaoni?
Brittanica we ni muongo muongo sana tangu ile issue ya Dr Shika ukasifiwa hapa kwa uongo uongo kumbe kukaa...