Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke? Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari?
1 Reactions
7 Replies
466 Views
Habari zenu. Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili. Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda...
14 Reactions
133 Replies
6K Views
Wakuu, Hata kama umeshashusha mjengo watu wengi huwa wanapanga sana chumba au nyumba Sasa kabla ya kupata nyumba ya kuishi kunakuwa na ile process ya kuipata hiyo nyumba Siku hizi kila kona...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Ukuta wa Mirerani ulijengwa kulinda tanzanite – mali adimu ya taifa. Leo hii, kila anayetaka kuingia ndani ya ukuta huo analazimika kuwa na kitambulisho maalum kinacholipiwa. Lakini maswali...
2 Reactions
2 Replies
352 Views
Ngoja niende kwenye mada Moja Kwa Moja Mimi nadhani inawezekana kuwa na kampuni 2 tofauti zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi 1) Kila kampuni inakuwa na rangi yake ya mabasi...
0 Reactions
23 Replies
956 Views
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo kimeandaa mdahalo wa wachambuzi utakaofanyika Jumamosi, Agosti 30, 2025 katika...
2 Reactions
10 Replies
889 Views
Humphrey Polepole amesema JamiiForums walianza kukusanya kero za wananchi kidigitali, na hapa kweli nawashukuru wananchi na JamiiForums kwa kuwa msaada kwa serikali katika kutatua changamoto...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Yaani Serikali kama pale Mwanza,Mbeya na Dar es Salaam chopper linapita kwenye maeneo ya wazi ya Serikali inamwaga mbegu za miti mbalimbali ya asili lakini pia zoezi lifanyike kwingineko...
3 Reactions
8 Replies
472 Views
  • Closed
Kwenu wana jamii Jana Polepole alirudia Madai yake ya Magufuli kuuawa na pia kuwa na Tishio la kuuawa hata kabla haijatokea Wana JamiiForums wakongwe na waliobahatika kusoma hapa JF kabla ya...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka. Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Dear son, The man you will become by 2027 depends on: 1. Foods you eat 2. Books you read 3. Habits you adopt 4. People you spend time with Start investing in yourself TODAY.
5 Reactions
1 Replies
242 Views
Kwa watu mlioishi bukene miaka 45 iliyopita,mtakuwa mnamfahamu mtu huyu.Ni mbulushi ambae alikuwa tajiri sana na alikuwa ndio rais wa bukene.Wabulushi wa Tanzania nzima walikuwa wakimheshimu...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Tume ya Kulinda Taarifa Binafsi nchini imetoa uamuzi kuhusu ulinzi wa taarifa za mtoto kwa kumtoza faini ya shilingi milioni 25 (TZS 25,000,000) kwa kosa la kuchapisha na kutumia kibiashara picha...
0 Reactions
3 Replies
748 Views
Leo, Agosti 30, ulimwengu unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kupotea kwa Lazima (Enforced Disappearance). Siku hii, iliyoanzishwa na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2010, inalenga...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonya na kukemea tabia ya Watumishi na maafisa wa Serikali kuwafokea na kuwatokea kauli mbaya Wananchi pindi wanapohitaji huduma, huku akisema kuwa kufanya...
1 Reactions
5 Replies
818 Views
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo...
12 Reactions
175 Replies
15K Views
"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu...
18 Reactions
53 Replies
3K Views
Serikali imefanya jambo zuri Kwa Kuwa na Mji wa Serikali unaitwa Magufuli City eneo la Mtumba Jijini Dodoma Ili kuweka shughuli za serikali eneo Moja na kurahisisha utendaji kazi. Kwa kuzingatia...
2 Reactions
9 Replies
589 Views
Kutoka kwa Babu Hadi Vitukuu: Tafakari juu ya Uzao na Kumbukumbu za Familia. Leo nimeketi na kutafakari kwa kina kuhusu chimbuko langu la kifamilia, hasa upande wa baba. Katika ufuatiliaji wangu...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…