Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bodaboda na bajaji zimesaidia kutoa ajira kwa vijana wengi hapa nchini hivyo imepunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya kiuhalifu (ukabaji) hapa nchini kulinganisha na miaka ya nyuma ambapo vijana...
2 Reactions
6 Replies
287 Views
Yesu Kristo alipofariki alizikwa siku hio hio, baada ya siku 3 alifufuka. Kuanzia masaa 15 baada ya kifo, harufu ya kuoza mwili inaanza kuwa kali na inajulikana kwa watu walio karibu japo huwa...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika taasisi hiyo ambapo...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Hii vita ya Russia vs Ukraine kuna muda hata siipatii majibu. Urusi alikuwa na makoloni mengi chini ya mwavuli wa Sovieti ikiwemo czech, Belarus, Slovenia na Ukraine ikiwemo n.k . Sasa...
1 Reactions
3 Replies
318 Views
Hii Ofisi haijali mtu yeyote si Walemavu, wazee wala wagonjwa ni mwendo wa huduma mbovu tu kwa kila aliyeko mbele yao hata uso wa aibu hakuna, Mambo yao ni ya usaniiusanii ahadi za uongo na...
2 Reactions
4 Replies
412 Views
Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti...
27 Reactions
371 Replies
15K Views
Mimi na mwanangu tuko ktk nchi fulani ya kibepari nimemleta dogo kujifunza mambo fulani hivi. The way mwanangu alivyo mweusi nilihofia watoto wa kibepari watakabagua ila imekua tofauti. Dogo ndo...
22 Reactions
170 Replies
4K Views
Baada ya baadhi ya Wanawake Wajasiliamali wa Tarafa ya Karema, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kutoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Mtungi gesi 20kg === Tsh 25,000 Sukari 1kg === tsh 1000 Mchele super 1kg === tsh 1000 Cement ==== tsh 10,000 Tofali block ==== tsh 500 Umeme wa Tsh 5000 (mjini ) = Units 42 kwh Bando 1GB...
3 Reactions
22 Replies
787 Views
Nchi ya Costa Rica walifanya maamuzi mwaka 1948 kutokuwa na jeshi ili kuendeleza amani na upendo. Tangu wafanye uamuzi huo umeiletea nchi faida kubwa kwa kuwa raslimali nyingi ambazo zingewekezwa...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Isa 55:7 SUV [7] Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa. Wito huu wa kuacha dhambi...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Wakili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili. Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack lililoshahihishwa na presha ya kushuka...
17 Reactions
58 Replies
6K Views
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina...
23 Reactions
133 Replies
9K Views
Sekta ya betting nchini Tanzania imeonyesha ukuaji wa haraka, hasa kutokana na ongezeko la michezo ya kubahatisha ya mtandaoni kama Aviator. Hata hivyo, bado faida nyingi zinatoka nje ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Mwaka 2013 tuliajiriwa pamoja tukiwa na certificate ya community health. Baada ya mwaka mmoja kazini, jamaa alikutana na dada mmoja akamshauri asome diploma ya mambo ya uhasibu. Jamaa akaja...
92 Reactions
285 Replies
11K Views
TAARIFA KWA UMMA KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA NA KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 1.0 KUKAMILIKA KWA AWAMU YA KWANZA YA UDAHILI...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Kapiga mikwara miiiiingi , makanisa yake yasipofunguliwa ndani ya siku 10 atalipua bomu zito sana. Na kama hilo halitoshi kuna mwana Jf hapa akaja kuwanywesha members chai, ooh zimesalia siku nne...
3 Reactions
5 Replies
273 Views
Habari wanajf.kwa kweli nmeona wengi wanafanya vichekesho hawana hoja za msingi kuwashawishi raia za kuweza kuitoa CCM madarakani.
0 Reactions
1 Replies
254 Views
KAZI ZA MAMA ZINA MKONO WA MUNGU, Tunafahamu Chini ya Rais Samia hekta za umwagiliaji zimeongezeka kutoka hekta 543,366 Mwaka 2020 hadi hekta 1,270,647.06 mwaka 2025 kwa makadirio ya kutumia...
5 Reactions
19 Replies
806 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…