Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Safari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa...
19 Reactions
73 Replies
2K Views
Kimario wa arusha amedakwa na lita 60 za mkojo ndani adai amekojoa kwa miezi sita๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Wadau au mkojo ni dili mbona hamseme ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hata kama ni serikali wafuate utaratibu wa kuingia kwenye ofisi za watu na sio kuvamia hovyo hovyo tu Nashauri mwanasheria wa JF afungue kesi zidi ya wavamizi hao
3 Reactions
13 Replies
581 Views
Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity). Uchangiaji unakuwa bora...
37 Reactions
211 Replies
5K Views
Kwa Uelewa wangu watendaji kazi wakubwa wa ulinzi wa ndani ya Nchi ni Usalama wa Taifa, na hawa wanapaswa kuwa makini sana na kila kitisho kinachotokea katika nchi kabla hata hakijafika polisi...
1 Reactions
1 Replies
321 Views
Habari za asubuhi.Kuna habari za chinichini wilayani Kilindi Tanga kuwa kuna baadhi ya viongozi wataburuzwa mahakamani muda wowote kuanzia jumatatu ya tarehe 08.09.2025. "Kimya kingi kina...
2 Reactions
7 Replies
523 Views
Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa...
7 Reactions
9 Replies
784 Views
Kwanini NSSF Wasiweke Mfumo wa Riba Kwenye Michango ya Wanachama Wao? NSSF chini ya sheria yake inamuagiza mwajiri kuwasilisha 20% ya ujira wa kila mfanyakazi wake kila mwezi, ambapo sheria...
5 Reactions
5 Replies
805 Views
Wanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
Maustadh na mikanzu yao wanatembezana ngumi balaa
6 Reactions
16 Replies
926 Views
Akizungumza kupitia kituo cha luninga cha Crown TV Septemba 05, 2025 Innocent Mangu kutoka Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa ya JamiiAfrica amebainisha kuwa katika mchakato wake...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
salaam ndugu wapendwa. matukio ya hivi karibuni juu ya mjadala wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya katiba ya Tanzania yaliibua na kuweka hadharani hisia za wenzetu katika muungano huu wa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga...
2 Reactions
13 Replies
687 Views
eneo hili ni mojawapo ya mipango bora kabisa ya iliyokuwa mamlaka ya uendelezaji mji. CDA. wali plan vizur sana miaka hio ya 1970s kwa kuweka bustan ya kupumzika. jembe mwamba alivokuja...
1 Reactions
3 Replies
356 Views
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine...
76 Reactions
244 Replies
9K Views
Wakuu, Je, hatma ya polepole baada ya kumaliza kuzungumza haya iko wapi? Je, ataonekana hadharani au ataendelea kuwa mafichoni? Je, baada ya utawala wa rais samia anaweza kurejea? Kuhusu...
1 Reactions
18 Replies
993 Views
Three suitors one husband Atino Things fall apart Hawa the bus drive Mabala the farm Ngoswe penzi kitovu cha uzembe Hayo yote hayawezi kukupa vitu hii Roll royce Aston martin hapa ata uajiriwe...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
Kwa sababu, kufeli kwa mwanafunzi kunasababishwa na mwalimu kutokueleweka darasani. Iwe ni shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu n.k Mwalimu au mkufunzi aliyebobea vizuri kwenye...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ