Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila Mwafrika, akidhamiria, anaweza kuwa milionea au bilionea. Mimi nakataa dhana kwamba Waafrika tumelaaniwa. Kama ni laana, kwanini mabilionea hawa wa Afrika hiyo laana haijawaathiri? Hawa hapa...
7 Reactions
83 Replies
2K Views
Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi limeona picha mjongeo (Video clip) ikionekana askari amelala chini, iliyoandaliwa eneo ambalo halijulikani na inasambazwa katika mitandao ya kijamii. Tunajulisha kuwa tumeanza...
1 Reactions
7 Replies
618 Views
Video inayoonyesha askari polisi akiwa amelala chini imezua taharuki mitandaoni, huku ikidaiwa imerekodiwa katika kituo cha polisi bandari. Katika ujumbe ulioambatana na video hiyo, askari...
0 Reactions
9 Replies
538 Views
Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo...
6 Reactions
10 Replies
380 Views
Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado. Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Nchi yetu inaongozwa kwa sheria na taratibu! Watu wanakuwa wamefuata taratibu zote na kunyimwa haki katika serikali ile ile inayotoa pole! Huwezi kwenda kutoa pole kwa matokeo yaliyochangiwa na...
5 Reactions
8 Replies
401 Views
Kuna vipande vingi vya video kuhusu sakata hili ambapo, vingine vinaonesha mama mjane akiwa anabebwa kama mzigo ambapo, kimsingi huu ni UDHALILISHAJI. Nimewasiliana na mama huyu na kumwambia pia...
12 Reactions
12 Replies
738 Views
Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari...
0 Reactions
3 Replies
394 Views
Yer 6:19 SUV [19] Sikia, Ee nchi; tazama, nitaleta mabaya juu ya watu hawa, naam, matunda ya mawazo yao, kwa sababu hawakuyasikiliza maneno yangu; tena kwa habari ya sheria yangu, wameikataa...
0 Reactions
2 Replies
202 Views
Kimbunga kikubwa Ragasa kimeingia nchini China na kusababisha taharuki kubwa, huku watu wapatao milioni mbili wakilazimika kuhamishwa. Huko Taiwan, takriban watu 17 wamefariki dunia baada ya...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba...
0 Reactions
2 Replies
273 Views
Wakristo mnasemaje hapo?!
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Karen Tausi Mbowe ambaye ni Mjumbe wa Kamati Tendaji jukwaa la Wahariri, Muhariri na Mwandishi wa Habari amesema, Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma. Ni kweli...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa...
7 Reactions
17 Replies
858 Views
Wanajamvi kwema? Bila kupoteza muda, nadhani wengi tunakumbuka kuwa mwaka 2012 kulikua na vuta ni kuvute za hapa na pale baina ya Madaktari nchini na Serikali chini ya aliyekuwa Rais wa kipindi...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuna watu ambao wamezaliwa katika familia zinazojiweza, na walikuwa na nafasi nyingi mbele yao, lakini waliamua kuzichezea. Walikuwa na uwezo wa kusoma shule na vyuo bora, hata kuletewa walimu...
15 Reactions
58 Replies
2K Views
Et unasikia kiongozi flani anampa maagizo kiongozi wa ngazi au taasisi flani, inamaana hiyo tasisi haijitambua kabisa mpaka ifanye kazi kwa maagizo na maelekezo. Basi kuna haja gani ya kuajiri...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Wahandisi watatu na muongoza watalii mmoja wanaotuhumiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kutoka katika taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi wanatarajia kusomewa hati mpya ya mshataka...
0 Reactions
2 Replies
242 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba...
1 Reactions
0 Replies
656 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…