Hii familia mpaka leo nikiitafakari huwa sipati jibu,
Kwanza ni familia ya kiungwana sana wako very very humble ni wacha Mungu, na kanisani hawakosekani na ni watu wenye kusaidia wengine kwa moyo...
Uchunguzi wa BBC umefichua mwanamume anayeendesha mtandao wa biashara ya ngono kutoka kwenye maeneo ya kifahari ya Dubai, akiwanyanyasa wanawake walio katika mazingira magumu.
Mwanamume huyo...
Maelezo ya Tatizo
Wadau naomba msaada wenu. Kuanzia jana nimekuwa niki-boost matangazo kupitia Instagram kwa kutumia bajeti ya kawaida ya USD 10 kwa saa 24. Tatizo ni kwamba ndani ya dakika 5 tu...
Millard Ayo mara nyingi huibua mijadala ya ajabu sana kwa maswali yake, lakini swali alilomuuliza Chid Benz limezua mjadala mkubwa.
Kumuuliza mtu kama Chid Benz ambaye kapitia matatizo ba shida...
Mimi si mgeni humu JF,japo si mkongwe sana. Kwa mara ya kwanza nilijiunga rasmi JF 2013,na nilibadili ID 2015 na hii mpya niliibadili mnamo mwaka 2017.
Nakumbuka JF ilikua "Home of great thinkers"...
Wakuu habari za asubuhi, jana nimefungua uzi kuelezea sisi tusio kuwa nacho maisha tunayopitia mpaka kukosa chakula na kuishia kula mlo 1 tu kwa siku nawenyewe kwa mbinde
Wapo walioguswa na kutoa...
Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF...
Kama kweli Rais ana dhamira ya kuondoa Rushwa, uonevu, na aibu za kila aina katika ofisi za umma basi atoe ruhusa maeneo hayo watu kupiga picha na kurekodi sauti na matukio
kama tunavyoonaga watu...
Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo.
Maisha ni magumu, na...
1. If you read the Bible and Quran at the same time you will realize that God of the Bible is different from the god of Quran
2. Bible and Quran have different views about Jesus Christ. From...
Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu
Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani...
Anaandika BICHWA KOMWE ✍️✍️✍️
Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama...
Tulishakatazwa kuongelea data zozote popote pale bila kuidhinishwa na taasisi husika , lakin hiyo haitufumbi macho kuona masuala mbali mbali na kuyahesabu,
Hapa tunaongelea Suala moja la DART...
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema jeshi hilo litaanzisha masomo ya uzalendo wa kidigitali kutokana na ukweli kwamba vijana wengi hupatikana kwenye mitandao...
Kwa wanaomfuatilia alikua anahamasisha maandamo na pia alikua anaikosoa serikali, binti mdogo sana huyu sijui atarudi au ndio basi tena
KAMA MNASOMA HII MLIENAE HUYU BINTI TUNAOMBA MSIJE...
Kwamba hawa ndugu zangu wa kaskazini ni walevi sanaa?! au ni nini.
Ukifuatilia utagundua majina ya bia karibia zote zinasadifu mikoa ya hapo kaskazini.
Mfano:-
1. Safari Lager - safari kwenye...
Mchezo wa ndondi na shughuli zote nchini Ghana vimesitishwa kufuatia kifo cha bondia wa uzani wa kati, Ernest Akushey, maarufu kama Bahubali, aliyefariki siku 11, ikiwa ni baada ya pambano lake...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani?
Hakika anapambana
Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO...