Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inawezekana vipi katika hali kama hii ya sasa, mkuu wa nchi upo kimya na unaendelea na majukumu yako kama kawaida kana kwamba hakuna kinachoendelea, Ilhali nchi ipo kwenye tension kubwa...
4 Reactions
6 Replies
351 Views
Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?. Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeeleza kuwa ipo tayari kushauri mamlaka husika kutunga sheria itakayoruhusu wauzaji na wasambazaji wa dawa za kulevya nchini...
2 Reactions
5 Replies
341 Views
Hilo swali niliuliza CHATGPT na haya ndiyo majibu yake.... Simulizi za watu waliokaribia kufa (Near-Death Experiences - NDEs) kwa kweli ni za kuvutia sana na mara nyingi huwa na mambo...
4 Reactions
19 Replies
813 Views
Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema...
3 Reactions
7 Replies
734 Views
Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa...
3 Reactions
7 Replies
467 Views
Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani...
1 Reactions
6 Replies
297 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana. Baada ya leo kupata...
5 Reactions
14 Replies
487 Views
Naona mitandao mengine imekuwa mizito hasa Facebook na WhatsApp, na kusearch Google. Au nitafute simu nzuri?
5 Reactions
9 Replies
709 Views
Wangapi wameomba Mungu wasipate kitu? Wangapi hupatwa na woga wanapoambiwa hasira na visasi vya Mungu/ Wangapi wameibiwa hata kuharibiwa maisha kwa jina la Mungu?> Wangapi wana wasi wasi hadi...
1 Reactions
26 Replies
613 Views
Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za...
1 Reactions
14 Replies
718 Views
Sina maneno mengi. Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa...
16 Reactions
36 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Uzi huu ni kwa ajili ya yanayojiri Tanzania baina ya mtawala mmoja na wananchi wake ambao hawataki kumpigia kura lakini yeye anasema lazima...
3 Reactions
8 Replies
326 Views
Amkeni wazazi mnaopeleka vijana vyuoni kwenye upande wa simu za mkononi. Watoto wanawadanganya kuwa bila smartphone masomo hawezi kufaulu mnaanza kuhangaika kwa kununua simu za bei ghali kwa...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
Sarah Mullally (63) ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu mpya wa Kanisa kuu la Waanglikana la Centrebury lililopo Nchini Uingereza na sasa anakuwa Kiongozi wa Waumini takribani milioni 85 ulimwenguni kote...
4 Reactions
9 Replies
365 Views
Kwa sasa kama ni mbwayi ni mbwayi. Pale Oystabey polisi ndio kikosi kilichomo na namba zao naanza kuziweka hapa kama wasipo muachia Polepole. Na hiki kikosi kilitengenezwa kipindi cha Jakaya na...
18 Reactions
55 Replies
3K Views
Nitaweka mfulizo wa posts za Sativa kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter akimshutumu ZCO Faustine Mafwele kuwa ndiye kinara wa utekaji na uuaji unaotekelezwa na taasisi za Serikali dhidi ya...
21 Reactions
238 Replies
21K Views
Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo...
2 Reactions
2 Replies
351 Views
Uzi huu ni kwa wale waona mbali tu. Wale waliibarikiwa kipawa na Mwenyezi Mungu cha kuweza kuona yajayo. Kwa upepo unavyoenda, ni matukio gani makubwa unahisi yanaweza kutokea kuanzia sasa mpaka...
2 Reactions
15 Replies
697 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…