Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yer 16:5 SUV [5] Maana BWANA asema hivi, Usiingie ndani ya nyumba yenye matanga, wala usiende kuwaombolezea, wala kuwalilia; maana nimewaondolea watu hawa amani yangu, asema BWANA, hata fadhili...
3 Reactions
20 Replies
509 Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Tatizo Yohana Mzumbe, mkazi wa Masoko mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mama yake wa kambo aitwaye Merry Yohana [61] aliyekuwa...
1 Reactions
1 Replies
302 Views
Mawakili ndio taaluma pekee inayoongoza kuwa na bifu na polisi, na kila kukicha utasikia wakili fulani anatafutwa na Pongo, mara wakili fulani kashitakiwa kwa kosa fulani tofauti na taaluma za...
1 Reactions
3 Replies
250 Views
Nitashukuru kama Watendaji wa DAWASA mliopo hapa JamiiForums mkija kulijibu hili kwani hali si nzuri maeneo tajwa.
1 Reactions
4 Replies
158 Views
Ndugu zangu wana-Jukwaa, Kadiri kalenda inavyoelekea kwenye Tarehe 29.10, tunajiuliza: Je, "Jibu" litatokea kama tunavyotarajia? Kuna ishara kwamba kadi ya kwanza huenda ikashinda safari hii na...
1 Reactions
4 Replies
263 Views
Tena hakuna Watu wachomeshaji kama wanafamilia (Ndugu) wakifuatiwa na Marafiki huku Wasaidizi wakiwa ni Watu wa mwisho na mara nyingi wengi Wao ndiyo hutuokoa katika Hatari ila basi tu tutajifanya...
4 Reactions
8 Replies
291 Views
Wakuu regards kwenu, Wote tonajua jinsi ndugu Polepole alivyo jiweka hatarini kuanzia kujiuzuru mpaka kuibua maovu mengi ya ndani ya serikali. Ni dhairi shairi alijua hatari kubwa iliyomzunguka...
4 Reactions
8 Replies
671 Views
Anonymous (7e77)
Mimi ni mdau wa JamiiForums.com nina kero ambayo naomba ujumbe ufike kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya pamoja na ofisini yake kwa jumla. Sisi Watumishi katika ngazi Elimu...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Hapo zamani nilikuwa nikishangaa kumuona mtoto wa mchungaji ni mzinzi, tapeli, mwizi, muongo, mlevi, n.k. Lakini baada ya kuona wachungaji wengi hasa wenye makanisa yao wakitajirika na kuishi...
2 Reactions
5 Replies
409 Views
Kama kweli serikali inataka kutenda haki ktk ukusanyaji kodi kwa wananchi wake basi ni vyema makanisa na misikiti iwaanze kutoa EFD receipt kwa sadaka ghafi kwaajili ya kulioa kodi. Nasema hivyo...
1 Reactions
6 Replies
274 Views
Nimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA...
16 Reactions
22 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU 1, afute uchaguzi 2, amwachie tundulisu haraka sana na wafungwa wote wa kisiasa 3, katika mpya 4, asifukue makuburi aanze upya kwa upendo...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ewe Mungu Muumba wa mbingu na nchi jidhihirishe sasa! Wewe tuu ndio mwenye uwezo wa kupanga nani aishi na nani asiishi na sio wanamtandao au mafwele! Watu wako wengi tunapatwa na ukakasi kwanini...
1 Reactions
4 Replies
210 Views
Whats up status 1 collegie The enemy you cant defeat is not worth fighting against. The best you can do is joining the enemy you cant defeat. My reply to his status...... (irritated/i was very...
0 Reactions
3 Replies
355 Views
Kama baba wa familia, kijana,mke, au kiongozi wa familia nunua vyakula weka ndani hasa wale mlio zoea kununua mchele kilo moja kila siku nunua vya kula vya mwezi mambo yana weza badirika watoto...
14 Reactions
49 Replies
1K Views
Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini. Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga. Andrew Nyerere tu ile...
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu. Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa Figo...
40 Reactions
153 Replies
11K Views
Inalilah waina ilahi rajiun Ibrahim sow kutoka Ivory coast. Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16. ==== Mshindi wa Mashindano ya...
9 Reactions
80 Replies
4K Views
Amani iwe juu yenu wenye Imani ya Mungu. Baraka za Mungu ziendelee kuwa na Nyinyi Amini. Kwenye haya Maisha unakutana na watu tofauti Sana wenye roho mbaya wenye roho za Kati na wenye roho...
1 Reactions
4 Replies
224 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…