Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria kwa jamii ya wakazi wanaoishi jirani na hifadhi...
1 Reactions
0 Replies
213 Views
1. Kupigwa mfululizo Mgongoni na Nyaya za Umeme 2. Tobo lililoko katika Uume kuingiziwa Waya wa Umeme na Kuwashwa 3. Pumbu / Kende / Mizangalu kubanwa na Mpira hadi zivimbe kisha zinapigwa...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Moja kwa moja Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati...
33 Reactions
204 Replies
17K Views
Mmoja kwa moja niende kwenye picha ya kusindikizia uzi. #UziTayari
9 Reactions
30 Replies
3K Views
...habari wakuuu...hili suala limekuwa likijitokeza Mara...Kwa mara ....utakuta mtu unamjua kabisa tena pengine mlicheza wote udogoni...lakini unashangaa mwenzio miaka inarudi nyuma...kila siku....
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Kuna helikopta zimepita jana na leo asubuhi kuna nini maana sio kawaida helikopta kupita anga la chini namna hii au kuna mtuwao wanamtafuta wampoteze
4 Reactions
12 Replies
462 Views
guest-1788672427
NO REFORM NO ELECTION 1. Kaini na Abeli walikuwa watoto wa kwanza wa Adamu na Eva. Kaini alikuwa mkulima alipanda mimea na mazao. Abeli alikuwa mchungaji alifuga kondoo. 2. Wote wawili...
2 Reactions
2 Replies
253 Views
Maswali kadhaa niliyoyapata baada ya Kuitizama na kusikia Jirani mmoja wa Kike akitiririka ni kama yafuatayo.... 1. Kumbe nyumba hiyo aliipangisha na siyo yake sasa kwanini mwenye Nyumba kasema...
5 Reactions
5 Replies
518 Views
Nimekuwa nikilifuatilia hili swala la internet kuzimwa kila ifikapo jioni, na siku ya leo nilitega alarm kabisa ili nithibitishe! Na imekuwa vile nilivyotarajia!. Uoga huu wa (serikali) ni juu ya...
9 Reactions
8 Replies
503 Views
Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa, Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Hivi hata kama kuna uhuru wa kuabudu kila mtu kwa imani yake, je serikali imewapa nguvu ya kufanya fujo?? Kuna makanisa mengi saana mitaani siku hizi, na wanayaweka katikati ya makazi ya watu...
3 Reactions
8 Replies
384 Views
Kuna rafiki yangu mmoja, kati ya mwishoni mwa miakaya 90 na mwanzoni mwa mwaka wa 2000 alizamia kwenda Ulaya. Safari za kipindi hicho ilikuwa za kibabe kweli mtu anaanza safari hana hata...
49 Reactions
537 Replies
77K Views
Ni matukio yanayotokea around the clock 24/7 Ya kufurahisha Ya kuhuzunisha Ya kutatanisha Ya kukatisha tamaa Ya kuumiza Ya kushangaza nk
1 Reactions
41 Replies
1K Views
Bonge kafunga goli kali madogo wakawehuka. Acha wafurahie ujana wao. adriz The Consigliere
3 Reactions
4 Replies
281 Views
Habari wakuu, Najua fika kuwa ni watu wachache sana wenye uwezo wa kiufundi kama huu wangu wa kuunda na kuikamilisha mifumo inayoweza kuhudumia mamilioni ya jamii, ninacho jivunia siyo utajiri...
0 Reactions
4 Replies
275 Views
Bible Code ni nini? Bible Code ni mbinu ya kuchukua herufi katika umbali fulani (kama kila herufi ya 7, au ya 50, nk) katika maandiko ya Biblia ya Kiebrania, na kupata majina, maneno au matukio...
5 Reactions
16 Replies
953 Views
Habari za jioni wakuu Leo nimeona nimzungumzie huyu kiumbe mashuhuri anaye itwa mwanaume Kiumbe huyu mungu kamuumba kwa namna ya tofauti Sana na utofauti huo siyo sura yake ambayo akiwa kwenye...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kufuatilia hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi katika maeneo...
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dkt. Janet Lekashingo, amefanya ziara ya siku moja wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo ametembelea maeneo ya uwekezaji wa madini katika miradi ya Liganga na...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Habari Tanzania ! Wizara ya Maji mnaonaje pawepo na "Water Pipeline" nchi zima kwaajili ya Uunganishaji wa maji kwenye Mikoa yote. Watu waburudike wafurahie nchi yao. Wizara ya Ujenzi na...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…