Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo...
2 Reactions
29 Replies
835 Views
Changamoto iliyokuwa ikiwakabili zaidi ya wakazi elfu kumi wa Kata ya Mababu, Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya, ya kushindwa kutekeleza shughuli zao za kiuchumi na kijamii kutokana na mvua za...
1 Reactions
7 Replies
325 Views
Tumechoka na kiburi chenu TCRA na makampuni ya somu haiwezekani sisi tununue simu na laini halafu nyie mpitishie matangazo yenu bure wakati sisi tunalipia bwana. Kila sekunde ni matangazo tu hadi...
11 Reactions
26 Replies
730 Views
Japokua umri wa kustaafu hua ni miaka 60 uliozoeleka ila kwa jinsi mwili ulivotengenezwa peak performance yake ni miaka 35 baada ya miaka hio viungo vyote ya mwili hua vimefika kikomo katika...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Hapo Zamani wakati Wagerumani(German East Africa) Walipokuja TANGANYIKA ambayo sasa ni Nchi ya Tanzania Walifanya Biashara Kutumia Sarafu ya HELLER -1904 Sarafu ya Shaba yaani Bronze Hela 1/2 na...
8 Reactions
21 Replies
844 Views
Watu wengi wamekuwa wakilalamika hata kuona forex ni kama utapeli au betting sababu kubwa mapokeo ya watu ya mekuwa kinyume chake wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa. Sababu kuu kwa nini watu...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Giza kubwa sana siku hiyo SAYUNI BOY
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Naomba nitumie jukwaa hili kuwaonya wazazi na wahititimu wanaotarajia kujiunga na vyuo vya ngazi ya kati kwa program ya famasia. Kwanza niwaeleze kwa nini ninaandika kutoa tahadhari hii. Kwa...
14 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa JamiiForums, napenda kushiriki nanyi tukio la kushangaza lililotokea maishani mwangu, ambalo lilinionyesha wazi kuwa uchawi upo! Mpaka leo nikikumbuka usiku ule, mwili hunisisimka...
33 Reactions
244 Replies
12K Views
Habari Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya Itawasaidia hata...
12 Reactions
151 Replies
9K Views
1)Zab 68:20 Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. 2)Yohane 14:13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Siku ulipoanza kusimama katika majukwaa ya kisiasa ndipo nilipopata shida moyoni kuhusu mahusiano yako na Mungu. Siasa na imani za dini ni sawa na mafuta na maji. Dini lengo lake kuu ni...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za mauaji ya Omary Mnandi (30) Askari Polisi Mkazi wa Jiji la Arusha. Akitoa taarifa hiyo leo Oktoba 12, 2025 Kamanda wa...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Waungwana nawasilisha kwenu hoja yangu naomba nipatiwe mwongozo niufuate, Mimi ni kijana wa kitanzania nina miaka 30 kipato changu kwa kazi ninayofanya ni 1200000 per month, nina mke na watoto...
4 Reactions
73 Replies
11K Views
Katika Tanzania, mila na imani kuhusu kupatwa kwa jua au mwezi hutofautiana kulingana na jamii/kabila, lakini zipo baadhi ya imani za jadi ambazo zinafanana: --- 1. Ishara ya Tukio Kubwa (Mauti...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari, Binafsi naupenda sana mji wa Goba kutokana na Geographia yake, ukiwa upande wowote unaweza kuufikia mji wa goba bila changamoto yoyote Mbezi shule kupitia masana unafika goba Mbezi luis...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna mwenye kujua history ilianzaje mpaka wahenga wakagundua mtoto akizaliwa akae miezi SITA bila kula chochote hata maji.. Na je mwanzo pengine walikuwa hawana hio akili wakawa wanalishwa ndani...
2 Reactions
15 Replies
634 Views
Toka ianzishwe ile bandari kavu chuoni pale chuo hakina muonekano mzuri ni vumbi kila mahali kuanzia benki ya NBC, dispensary na mageti yote ya upande wa barabara ya kuelekea Mkapa stadium Kwa...
3 Reactions
1 Replies
273 Views
Leo nilienda kupata huduma inayohusisha namba ya NIDA. Cha ajabu huduma sijapata kwakua namba yangu ya NIDA imefungiwa. Nilipotaka kujua sababu, nimeambiwa kuna zoezi lilifanyika la kufunga namba...
2 Reactions
5 Replies
522 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya...
1 Reactions
6 Replies
284 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…