Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewaambia wananchi kwamba yeyote anayewashawishi kuandamana badala ya kupiga kura Oktoba 29, 2025, awalipe kwanza...
Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu.
Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika...
Habari zenu, hivi hii inanitokea mimi tu au
Hivi kwanini mimi nikikosa hela mfukoni kabisa au hata kwenye akaunti, napatwa na hali hii [emoji116]
Naanza kuumwa kabisa, homa ya ghafla...
Mwaandishi wa habari Khalifa Said anawaasa waandishi wa habari kuwa daraja la kusambaza ukweli kwa wananchi ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na taarifa sahihi ili waweze kufanya uamuzi sahihi pia...
Marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kushinda China ila ndio nchi ambazo zipo kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi
Leo nataka niongelee suala la miji
China ina miji mikubwa kushinda Marekani...
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga. - Mamlaka za Tanzania...
Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na...
UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi
Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene...
Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital
Anaweza kushirikiana na mimi kwenye platform za kidigital kwa kuanza kujitolea, naomba...
06 August 2023
UWEKEZAJI KATIKA MELI MIREMBE JUDITH KUCHOCHEA MATUMIZI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Meli yenye uwezo wa kubeba makasha 600 iliyobatizwa jina MIREMBE JUDITH inayomilikiwa na...
Habari zenu, hivi ni mimi tu au wote
Hivi kwanini mimi nikikosa hela mfukoni kabisa au hata kwenye akaunti, ghafla napatwa na hali tofauti
Nabadilika nanza kuumwa kabisa, homa ya ghafla...
Hail lucifer,shemhaforash,
Leo hii nimeuza roho yangu kwa pepo wa uchoyo na ubinafsi( demon of greedy( mammon ) kwa ajili ya Mali na pesa .
Nilitumia kitabu cha VILE OF DARKNESS na vitabu...
Yer 26:16 SUV
[16] Ndipo wakuu na watu wote wakawaambia makuhani, na manabii, wakisema, Mtu huyu hastahili kuuawa; kwa maana amesema nasi katika jina la BWANA Mungu wetu.
Hapa tunaona nabii...
KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema anakishangaa chama chake cha zamani CHADEMA kwa kushindwa kusimamia malengo ya kuanzishwa kwa chama hicho. Akizungumza leo Oktoba 19...
Akizungumza katika Kongamano la Amani la Viongozi wa Dini mbalimbali linalofanyika Mwanza leo Oktoba 20, 2025 Mwenyekiti wa amani mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassana Kabeke amesema kuwa tunapoenda...
Huu ni Ushauri tu ila najua kwasababu mtu mweusi ni mnyimina mbinafsi hamtaupokea kwasababu unagusa maslahi ya fedha
Ni hivi, Wafanyakazi wa serikali/binafsi wanakatwa pesa yao kila siku kwa...
Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao?
Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono...