Baada ya kuonekana Al Jazeera hawapepesi macho wala kuuma maneno, wameona waiondoe kwenye ving'amuzi vingi Tanzania ili watu walio Tanzania wasione video za kutisha.
Kila siku Al Jazeera walikuwa...
Haina haja ya salamu wala maelezo Mengi
Milard Ayo
Diamond Platnumz
Hawa kwa kuanza nao, naagiza akaunt zao zibaki na follwers na subcribers chawa wenzao. Wengine wote tukawa-unfollow na...
Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya.
Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali?
Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi...
Chama cha Madaktari wa Tanzania kinatoa shukrani za dhati kwa madaktari na wahudumu wote wa afya kwa kujitolea kwao bila kuchoka katika kuokoa maisha, hata wanapokabiliwa na changamoto kubwa...
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 5, 2025, amemuapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Uapisho huo umefanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma, na kuhudhuriwa na viongozi...
Kwanza kabisa natoa pole za dhati kwa ndugu zetu wote walioondokewa na wapendwa wao, sote njia yetu ni moja. Tulitoka kwake na kwake tutarudi
Naomba kuwatahadharisha na hawa watu, roho yangu...
Kama Unavielewa Vile Vyama Vya Siri na Wanaoiiendesha Dunia Karibu Tujadili kwa Undani.
>>>>>>>>>>>>>>><<<<<<<<<<<<<<<<
Niendelee kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopotezwa kwa kuuliwa...
Wanajukwaa, Hebu tujadili hili kwa pamoja kama nchi na wenye nchi we need to have a backup system endapo mitandao ikizimwa tena nchini.
Tulikua na Backups ya Vpn ambayo millions ya watanzania...
Taifa limepondeka, Taifa lina majonzi, Taifa liko katika simanzi zito.
Watanzania wengi wana majonzi, vilio kila kona, wanaomboleza kila kona. Simanzi na masikitiko vimejaa katika vifua vyao...
Kwa Tafsiri isiyo rasmi kupitia ukurasa wake wa Intagram Wakali Peter kibatala ameandika kuwa;
"Kwanza kabisa tunaomba radhi kwa kukosa kutoa taarifa katika kipindi cha giza totoro; lakini kama...
Anachokifanya sasa ni Kuzusha tu mara Museveni mara Kagame na tunajua soon atahamia pia Kumshutumu Chapo.
Eti Museveni anaitaka Kagera (Bukoba) kwakuwa Nyerere aliichukua Kinguvu. Yaani Museveni...
Namba 40 Imebeba Ujumbe Mzito wa Kihistoria
Katika Biblia namba 40 ni alama yenye kumaanisha kipindi cha wakati mgumu. Ni wakati wa maumivu, kukata tamaa ya maisha, masumbufu na changamoto...
Vyombo vya habari vya Tanzania vinaonekana kuifuta mipaka kati ya uandishi wa habari na hadithi za mitaani, kwa ku-copy na ku-paste kila habari wanayopata bila kuchimba zaidi kutafuta ukweli...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo
Mhe...
Sifa kamili za authoritarian ruler (mtawala wa kiimla):
1. Udhibiti Mkubwa wa Mamlaka
Mamlaka yote (serikali, jeshi, vyombo vya usalama, mahakama, hata vyombo vya habari) yako mikononi mwa mtu...
Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama...
I saw this earl story from outside the country media reports about our issues.
Niliona na kusoma humu mkililia mahakama hiyo iingilie kati suala hili, basi hali ndo kama hivi...
Hizo ni...
Tuliambiwa ivyo naomba kuuliza je WALICHOFANYWA mbona kimefanyika kwa ustadi mkubwa utafikiri wafanyaji wana experience ya kufanyanyiwa ivyo then wakarudi
Binadamu kumbe wanaweza fanya ivyo na...