Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

jamani wanajamvi naona nafasi ya naibu katibu mkuu chadema bara imepwaya sana!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hatimae Beatrice Kamtindo kasafiri leo kwenda India kwa matibabu, amepata mchango zaidi ya 22m akakabidhiwa, akapewa tena 4.5m na leo kapewa cash 2.7m. Juhudi hizi kutoka ITV na staring ni Sam...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
How to Rob Africa ? The world's wealthy countries often criticise African nations for corruption - especially that perpetrated by those...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Nimeenda hotelini leo mchana kupata lunch mida ya saa saba nikaagiza wali kuku wa kienyeji,alakini baada ya kupiga vijiko niwili na kungata kinyango kimoja kwakweli ladha niliyokutana nayo haikua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Abiria wa treni tazara wamejazana bila kujua hatima yao baada ya wafanyakazi wa tazara kugoma; kisa sababu wafanyakazi hawajalipwa mishahara. Watoto na kina mama wanaangaika, bila kujua hatima yao.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Akiuchangamsha umati wa wana CCM hapo Kizota, nimemsikia Nape akiimba kwa hamasa kubwa, huku akishangiliwa na umati wa mkutano huo: Uamsho bye bye! Uamsho bye bye! Ningependa kukubaliana naye...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
Kwa kipindi kirefu nasikia hawa ndugu zetu wananyanyasika sana hususani maeneo ya miji mikubwa kama DAR,ARUSHA,MBEYA NA MWANZA..Naomba kama wana viongozi wao watoe tamko zito la kuilani serikali...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Hawa jamaa hivi wanaringia nini??? leo hamna network watu tunategemea simu za maana mnazingua sana hamjui tuu jinsi mnavyotugharimu
1 Reactions
159 Replies
12K Views
Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya safari 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na...
12 Reactions
83 Replies
7K Views
Wale wauwaji wa marehemu Barlow wamefikishwa leo (muda si mrefu) katika mahakama ya hakimu mkazi jijini Mwanza, lakini baadhi yao wana majeraha sijui yametoka wapi. Mmoja anachechemea na mwingine...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeona hili tangazo asubuhi ya leo eneo la TAZARA (DSM), kwenye service road inayotokea DT Dobie kuingia barabara ya Nyerere/Pugu. Kweli tumekata tamaa kwa kiasi cha watu ku-take advantage kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kutumia fursa hii kuwatahadharisha wakala wa tigo rusha kwa wizi unaoendelea huku Moshi, kwa jana tu jumla shs milioni moja na laki sita zimetoweka kwa kwa wauzaji tofauti...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Chained and shackled with iron bars and cuffs, slave bones believed to date about 1700 AD have been discovered at Kimu in Bweni, Pangani District in Tanga Region. Speaking to this paper in an...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The five most visited porn sites in Egypt rank at numbers 15, 23, 29, 67, 83, with two X-rated sites appearing in the country's top 25 most-browsed sites. (Photo courtesy of The Jordan Times) By...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Wale wanaoijua ndege iliyojulikana kwa jina Maarufu FOKA,Imekwenda Wapi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sumatra kutangaza kuwafutia leseni watakaopandisha nauli za kwenda mikoani, na je, linatekelezeka? Pia naona kama hii ni kwa wanaoanzia Dar, vp kuhusu watokao mikoani kuja mjini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MTOTO Ester Damian (si jina lake halisi) mwenye umri wa miaka 10 anatembea kwa kuchechemea kuelekea katika viwanja vya chama cha Ushirika cha Uru-Mawella vilivyopo katika kata Uru Kusini Wilaya...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
this post has been deleted by Nyakomba baby.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Baada ya juzi kuripoti hapa wizi wa mamilioni ya pesa kwa malipo hewa kwa interns, ofisi ya mkuu wa mkoa ilichukua hatua za kufuatulia. Mganga mfawidhi dr. karia aliwasilisha karatasi za malipo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini (Chadema),Philemon Ndesamburo Daniel Mjema, Moshi MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema), amethibitisha kuwa anaumwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…