Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vipi Mengi na TV zake hawahusiki? Zote zimezima zake zinapeta kunani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nani kauona mwaka, tunamaliza mwaka, ni majaliwa yake mungu, kuuona mwaka. Ingawa kuishi ni bahati na kufa ni lazima kwetu... ni vizuri ndugu kupanga mikakati kuchangia kuokoa maisha yao...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
ADDAX SA has taken a bold decision by sending back a vessel carrying 100,000 tonnes of fuel for re-blending so as to ensure that it returns with products that meet Tanzanian standard...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo pamoja na washtakiwa wenzake...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JUst hear thr news that of of the prominent guy from BOT Mr. Maganga is no more, can somebody confirm?
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali juu ya suala zima la kuuingia katika mfumo wa Digitali huko katika ukumbi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKOA wa Dar es Salaam leo saa 6 usiku unakuwa wa kwanza kuzimiwa mitambo ya analojia ya utangazaji wa televisheni kwa ajili ya kupokea mfumo mpya wa digitali. Hatua hiyo ya kuhama kutoka analojia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakutakieni nyote mwaka mpya wenye baraka tele na Mungu asimamie hilo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MHASIBU wa Klabu ya Simba, Erick Sekete Jumamosi wiki hii ameavamiwa na watu wasiojulikana na kuporwa zaidi ya Sh7 milioni. Fedha hizo zilikuwa ni za mgao wa klabu hiyo ilizopata katika mchezo wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jeshi la polisi linatakiwa litafakari kuhusu mauaji waliofanya dhidi ya raia wasio na hatia. Waelewe kuwa mamlaka ya uhai wa binadamu yapo chini ya Mungu. Ni vyema watambue kuwa ipo siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni siku ya mwisho kwa viongozi w umma kurudisha fomu zinazoonesha mali wanazomilik lakini mpaka sasa ni vingozi 1751 tu kati ya 9174 ndio walorudisha fomu. Je amnao badp hawajarejesha fomu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mji wa Kigamboni unakuwa kwa kasi na umekuwa na idadi kubwa sana ya watu kwa sasa. Kila siku kuna idadi kubwa ya watu wanaovuka kutoka kigamboni kwenda mjini na kutoka mjini kwenda kigamboni idadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii wadau naomba kuuliza frequence mpya na symborate za kbc ukiwa katika nyuzi 36 east.mana nina week 3 napata k24 tu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Familia ya Rais Jakaya Kikwete ikiwa pamoja na mmoja wa wagombea kiti cha urais nchini Kenya baada ya kutua nchini Tanzania na kulakiwa na Magufuli. Je, safari ya Magufuli nchini Kenye kumfanyia...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Je takwimu za sensa zinalenga kuleta maendeleo kwa jamii kweli au ni kujua tu?
0 Reactions
0 Replies
706 Views
As the deadline for switching off analogue television broadcasting expires today, some Dar es Salaam residents have complained that the decoders they purchased have technical problems. A survey...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…