Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kinachofanyika sasa naamini wengi walishasema ndiyo kitafanyika na sasa ndiyo kinafanyika Kila mmoja atajifanya anafanya kazi kufukuza watu kazi kusimamisha na kuigiza wapo upande wa wale...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa. Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao...
2 Reactions
17 Replies
567 Views
Kuna mada kuhusu mipango mibovu ambayo CCM na serikali yake wovu naona ujifunza na kutafuta mbinu za kukabiliana nalo palo wanapojiona wametumia akili kubwa. Mfano hii picha Usije shangaa hata...
6 Reactions
5 Replies
318 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi, waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari Mawili tofauti ya abiria...
1 Reactions
8 Replies
441 Views
Vatican News Church Tanzanian Bishops’ president: ‘Protesters were killed without mercy’ After weeks of street protests over the recent elections that led to many deaths and injuries, Bishop...
16 Reactions
44 Replies
2K Views
Najua Gen Z wanawapa Heartbreak na kuwatoa vijasho haswa vipara . Mmeshindwa kuyatambua mahitaji yao na mkasahau ni kizazi ambacho kimeshajitengenezea standard zao za maisha pamoja na...
17 Reactions
19 Replies
884 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Eze 1:3 SUV [3] neno la BWANA lilimjia Ezekieli, kuhani, mwana wa Buzi, kwa dhahiri, katika nchi ya Wakaldayo, karibu na mto Kebari; na mkono wa BWANA ulikuwa hapo juu yake. Katika utumishi wa...
0 Reactions
1 Replies
202 Views
Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amekutana na Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, leo Jumatatu Novemba 24, 2025, wakizungumza kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji mkoani Arusha...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Mimi huwa sipindishi maneno. Yeyote yule akizingua nambadilikia. Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala. Haya yote mnayoyaona kuwa...
14 Reactions
81 Replies
2K Views
Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa...
1 Reactions
2 Replies
449 Views
Hii hapa documentary toka BBC ikielezea kuhusu ndoto za utajiri kupiti ushirikina. https://www.youtube.com/watch?v=EjDe1D8NlOY
1 Reactions
2 Replies
250 Views
Viongozi wa dunia wakicheka kwa urahisi kutokana na kutokuwepo kwa Trump na kumpongeza Ramaphosa kwa maandalizi mazuri ndivyo Mkutano wa G20 ulivyohitimishwa jijini Johannesburg. Rais wa Afrika...
0 Reactions
2 Replies
301 Views
Kama ilivyokuwa kule kwenye msitu mnene biharamuro ambapo waasi wa kongo na wale banyamulenge walivyozungukwa na wazee wa kazi wazee wa kupasua matofali kichwani na kuondolewa kabisa na...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Kipindi cha marehemu Mugabe alipoona utawala unazidi kuwa mgumu kwake alianza kuwafukuza makaburu na kuwakabidhi mshamba yao watu wake ili azidi kubaki madarakani. Katika tawala nyingi mambo haya...
1 Reactions
2 Replies
260 Views
Kwa kweli kutokana na kuzunguka dunia na kujikuta sehemu mbalimbali ambapo hata unapoenda kununua kitu na kutumia fedha taslimu, unajikuta noti uliotoa kumpa muuza duka au cashier, lazima kwanza...
2 Reactions
11 Replies
540 Views
Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au...
12 Reactions
117 Replies
5K Views
Katika mazingira yoyote ya operesheni za habari, kuna kanuni moja isiyovunjika, inasema "Unaweza kuzuia sauti za ndani, lakini huwezi kudictate vyanzo vya nje." Ndicho kinachomkumba Msigwa sasa...
3 Reactions
3 Replies
290 Views
Wauguzi wa afya wametakiwa kuimarisha mawasiliano bora na wagonjwa pamoja na kuzingatia miongozo ya kitaaluma badala ya kufanya kazi kwa mazoea, ili kuboresha utoaji wa huduma za afya na...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…