Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tunaweza kuona Leo ila kesho mkaona mengine ambayo uhai wa binadamu afrika ni kama sio thamani kutokana na utawala, pamoja rasilimali. Mfano tulioweza kuanza kuona ni Sudan ilijitenga zikawa...
0 Reactions
6 Replies
195 Views
Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao. Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na...
-1 Reactions
19 Replies
430 Views
Habarini Wakuu, Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi. Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana...
50 Reactions
78 Replies
4K Views
Ripôti mpya iliotolewa na shirika SWISSAID imeonesha kuwa nchi ya sudan Kusini huzalisha tani 5 ya dhahabu kila mwaka, lakini hakuna dhahabu inayorekodiwa au kusafirishwa kwa njia halali, hii...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama...
5 Reactions
97 Replies
4K Views
Inanishangaza kabisa kuona kila kazi ina vazi lake na hutumika mahala pake. Pamoja na kazi nzuri za mavazi ikiwepo kustiri mwili, kupendeza ,kutunza joto, mavazi hayo yakivaliwa hayana uhiari na...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Mwigulu: Rais Samia ameagiza Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema Rais Samia amelielekeza Jeshi la Polisi kusitisha kumtafuta Askofu Josephat...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Kuelekea 9 DEC Nimeota maandamano yatakuwepo na maeneo yatakayoshambuliwa zaidi ni misikiti na makanisaa ila ni ndoto tuu ya kupuuzwa.
4 Reactions
10 Replies
569 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu...
1 Reactions
22 Replies
782 Views
Watu wegoma kisa mishahara ndio maana hata soka halichambuliwi😂🤣😂mambo yanaanza kuwa magumu kila kona.
17 Reactions
50 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja aishie nyasaka jijini Mwanza amekutwa kajinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kumpoteza mumewe ambaye alipigwa risasi tarehe 29 October na kufariki. Mwanamke huyo ameacha...
7 Reactions
20 Replies
667 Views
Wakuu, Kuna mjadala ulikua unaendelea mahali huku mtaani, tulikua tunajadili kuhusu ubora wa majeshi ulimwenguni. Jamaa mmoja ambae ni mstaafu wa jwtz akasema kwamba kwa experience yake ya kukaa...
26 Reactions
167 Replies
21K Views
Hii kit ina kimbia 30+ plus week kama ya tasty hivi
2 Reactions
13 Replies
464 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) nchi nzima kuhakikisha hakuna foleni zisizo na sababu zitakazokwamisha na kuzorotesha...
0 Reactions
6 Replies
265 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta kama mkataba unavyosema la sivyo serikali itauvunja na...
1 Reactions
4 Replies
275 Views
" Je, wewe kama kiongozi umetengeneza mazingira salama kisaikolojia kwa watumishi wako — mazingira yanayowapa ujasiri wa kutoa mawazo, kuuliza maswali, na kukosea bila kuogopa lawama?" — Omar Mjenga
3 Reactions
1 Replies
195 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tulikuwa tunamcheka ayatollah kuwa anaishi kwenye mashimo kama panya Lakin angalau yule mzee wa kipesian ana maadui kutoka nje Huyu wa...
23 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa. Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa...
1 Reactions
5 Replies
388 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…