Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jwtz acheni kutuongopea wananchi. Mnasema mliapa kulinda mipaka ya nchi, lakini mbona hamlindi vilivyomo ndani ya mipaka?? 1 MIPAKA Hiyo mipaka yenyewe mbona hamuilindi?? Kama mnalinda mipaka...
13 Reactions
18 Replies
568 Views
Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana...
0 Reactions
33 Replies
685 Views
Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Tunaitazama dunia katika Angle tofauti tofauti. Bado ni tishio kuu mpaka sasa ulimwenguni. Siku hizi matangazo na campaigns zimepunguzwa sanaa. Wapo walio survive long more than 20 years na...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Kwanza mnatakiwa kabla hamjafanya chochote kutoa Taarifa kwa umma inabidi mtulie, muichambue kwa makini, vijana wa leo wanajua mambo mengi na wanauwezo mkubwa wa kuchakata mambo. Hii comment hapo...
1 Reactions
12 Replies
375 Views
Tahadhari kabla ya hatari Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au...
1 Reactions
6 Replies
291 Views
Bila kupepesa macho, vyombo vyetu ya ulinzi na usalama hasa vyenye mamlaka na intelijensia ya nchi vinafaa kutupiwa lawama, Ni mwaka jana Julai 2024 hapo nchi jirani kulitokea na maandamano...
2 Reactions
5 Replies
254 Views
Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Chande: Tunaahidi uwazi na uadilifu kwenye uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, Jaji...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Mathayo 4:8&9 inasema: "Kisha Ibilisi akamchukua (Yesu)mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha Falme zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia"  Yesu...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au...
0 Reactions
14 Replies
373 Views
Hayo madini, Mbuga za Wanyama, Gas, Uranium, Bandari, misitu n.k. ni kipi hawajapewa mabeberu kwa mikataba ya kijinga? Kipindi cha Magufuli tuliambiwa yote hayo Anachotaka Lissu hata kidogo...
4 Reactions
6 Replies
271 Views
Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za vituo vya Lake Oil. Wenye ushahidi wapeleke Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete amesema yuko...
1 Reactions
2 Replies
222 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! "Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa...
10 Reactions
11 Replies
640 Views
Wakati mwingine hisia sio za kupuuzwa. Kuna nyakati unaweza kuwa mahali fulani ukahisi jambo, lakini kwa kujifanya jeuri au kutosikia sauti ya ndani, unajikuta unayapitia yale yale ambayo ulionywa...
9 Reactions
54 Replies
1K Views
Sina Imani jamaa kama ali kosa usingizi na kuwa na hofu kwa kilicho endelea baada ya internet kuzimwa, Sina Imani kama jamaa WALAU aliwaulizia washikaji wa kitaaa chake na wabongo waliopigana...
30 Reactions
63 Replies
2K Views
Napenda kuanza kwa kuisifu Tanzania na watu wake kwa namna ya kipekee kabisa Tanzania imejaliwa Wananchi walio miongoni mwa watu wema zaidi duniani Ni watu wenye tabia ya upole, uchangamfu...
0 Reactions
17 Replies
301 Views
Kumekuwa na hujuma za makusudi za kupandisha bili za maji za watu. Kwa kudhibitisha, asilimia kubwa ya watu bill zao za mwezi wa November zipo juu bila sababu za msingi , je ni serikali inatafuta...
2 Reactions
4 Replies
223 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…