Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hadi muda huu bwana Mkunda yupo kimya. Anasubiri ngoma itoe GG, (mambo yavurugike) ndo aje na matamko uchwara😉
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Kuelekea kesho huenda huduma za internet nchi zikazimwa hivyo wadau naombeni VPN ya uhakika mapema kabisa.
4 Reactions
29 Replies
895 Views
Sehemu zote zilizotokea October 29 Polisi, wanajeshi na TISS wamejazana wakiwa teyari kumwaga damu. Sasa wasicho kijua kinaweza kuwa yani walipo pangwa sio hapo. Mtakuja kushangaa kesho yakawa...
2 Reactions
17 Replies
540 Views
Kila la heri mtakaokwenda kuandamana kesho, binafsi sitaandamana ila dua zangu kwa wote mtakaoandamana ,mtoke salama na mrejee kwenye familia zenu salama. Kiuhalisia naona ni ngumu kufanikisha...
1 Reactions
6 Replies
192 Views
Mimi sio mtumiaji wa TV ila mtujuze mnaotumia ving'amuzi kuna channel zitakuwa stopped ili kuficha D9. sasa wanaogopa nini.
1 Reactions
7 Replies
281 Views
Tumebakiza masaa machache kuelekea barabarani! Nimejiandaa vya kutosha Maandamano yalopita nilikua na cycle yangu ya watu watano, now tupo watu 17 tunaoaminiana na kila mmoja ashaandaa bango...
7 Reactions
13 Replies
309 Views
I salute you kinsmen Wakuu Kuna jambo huwa linanishangaza sana Ninapoishi kuna ukaribu kidogo na day care moja hivi. Sasa jioni nimerudi nikawa naskia muziki mule Kumbe wameweka graduation...
13 Reactions
44 Replies
1K Views
Leo sehemu nyingi vitu vimepanda bei balaa. Kilo moja ya nyama elfu 17 Nyanya moja 500 Chips yai elfu 5 Soda elfu 1 Nk nk Kwa mwendo huu ni ngumu watu kufikia lengo Hapo hakukuwa na...
6 Reactions
5 Replies
330 Views
watu wananunua mahitaji in bulk kana kwamba kuna kitu kinakuja. Hadi sasa, masoko ambayo kawaida hufungwa mapema bado yako wazi kwa sababu uhitaji ni mkubwa kupita kawaida. Maduka ya dawa yako...
4 Reactions
6 Replies
191 Views
GT Mwamba huyu hapa engine ya maandamano M029 kutoka kimara
8 Reactions
7 Replies
641 Views
Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale. Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka. ujataja haya mambo...
2 Reactions
4 Replies
259 Views
Mcheki Swagger zake kabla hajapinduliwa.
1 Reactions
7 Replies
340 Views
Kama mtaala wa shule anayo soma mwanao upo chini ya Necta basi lazima utakuwa silent kuhusu jinsi ya kusurvive na kuthrive kwenye situation ya taharuki kama vuguvugu la D9 au kama hali iliyo tokea...
2 Reactions
4 Replies
201 Views
Orodha kamili ya taaluma za afya na aina ya biashara mtu anazoweza kumiliki/kujiajiri bila mtaji mkubwa—mfumo wa “Skill → Business” (Taaluma - Biashara). 📌 ORODHA YA TAALUMA ZA AFYA NA BIASHARA...
0 Reactions
4 Replies
449 Views
Hongera Jamiiforums Kurudi Hewani Ushindi wa Uhuru wa Kujieleza 👏👏👏 Nawapongeza kwa dhati uongozi wa Jamiiforums kwa ujasiri, uvumilivu na ukomavu mkubwa mliouonesha katika kipindi chote ambacho...
6 Reactions
5 Replies
255 Views
Kwa historia ya CHADEMA tangu inaanza haijawahi kuyumba kwa kiwango hiki cha sasa ni kama inataka kusambaratika Hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kususia uchaguzi tangu isajili Chama chake Ni...
-4 Reactions
65 Replies
1K Views
FaizaFoxy ,Lucha Mnakaribishwa kutoa mapovu
10 Reactions
35 Replies
981 Views
Siasa ndo ina-control kila kitu wakuu, Tazama sasa siasa ya Tanzania ilivyo inatuchezea akili huku ikituacha na mateso yaleyale kila kila wakati. Mwananchi unateswa miaka minne alafu ule mwaka wa...
2 Reactions
4 Replies
138 Views
Sababu ya kiburi chako kuona unaweza. Sasa uliposikia USA wamekunyima vijiela ulivyosema uvitaki wakapewa wengine juzi. Wamekuita kukusalimia ikulu ukapigwa za uso maana unatakiwa ukubali...
4 Reactions
9 Replies
368 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…