Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma. Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI. Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Wakuu niajee Hope mko gud! huu mwaka ni kama umekwisha umefanya nini cha maana? ambacho ukikitazama unajipongeza.. maana wakati tunaanza January kila mtu alikua anasema huu ni mwaka wangu wa...
12 Reactions
180 Replies
3K Views
Jenipher Mgendi N mwimbaji wa Nyimbo za injili Nchini Tanzania amewahi Kutamba an Nyimbo kama Vile Chekundu, Yesu Nibebe;Nipo StudioBaba n.k Leo anatusimulia Kisa chake kilichotokea Miaka zaidi...
14 Reactions
37 Replies
4K Views
Gen Z wapo Live huko mtandaoni wanashusha nondo kupitia Live ya "Nuruvazi" ya instagram ukiingia instagram search "Nuruvazi" Maandamano kesho yapo kama kawaida Kumbe alikimbilia Singida baada ya...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao...
19 Reactions
30 Replies
1K Views
Na mkiwa mnaongea nao waambieni wasivizie tu kukiwa na Machafuko ili waje Kuripoti hata kwenye Amani leo waje.
6 Reactions
39 Replies
934 Views
Hapa ingawa ni Mwenza ila hili neno linatumika kwa mtu / watu wanaoshirikiana, unaweza kudhani umeshinda leo na kujiona mshindi, ila ukweli ni kwamba kama mwenzako hajaridhika na kuona kwamba...
2 Reactions
1 Replies
161 Views
Huyu jamaa nilimfahamu katika uzi mmoja Jf Kuna madu alikuwa anamzungumzia hapo nikaaenda moja kwa Moja Instagram katika akaunti yake kufuatilia. 1. Katika kipindi ambacho watu wanaopenda Amani...
2 Reactions
29 Replies
563 Views
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi. Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es...
0 Reactions
17 Replies
650 Views
Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina? Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo...
10 Reactions
43 Replies
1K Views
Kibinafsi sikuunga mkono maandamano ya D9 kwa sababu zifuatazo: 1: Niliamini hakuna atakayeweza kutatua yale yote tuyatakayo ikiwepo samia kujiuzuru. 2: Mfumo uliopo sasa unaipa nguvu CCM...
1 Reactions
2 Replies
162 Views
Watu wa Mpira tuna Kauli yetu isemayo ukiona anayetroti (anayepasha) nje (benchini) ni Kipa basi jua anayetoka pia ni Kipa aliye ndani na wala siyo Mchezaji wa ndani. Hivyo ni matumaini yangu...
1 Reactions
3 Replies
176 Views
Katika hali isiyokawaida, jana baada ya kumuona Simbachawene akiongea, sikutegemea usiku wa kuamkia leo ningerudi kwa taabu nyumbani. Nimefika Buguruni nikakuta watu wanakimbizwa na wanajeshi...
1 Reactions
9 Replies
426 Views
Why do you keep pretending you care about your citizens when you’re busy blocking their access to every place where they could speak freely? If everything is “so perfect,” why are people forced to...
2 Reactions
3 Replies
271 Views
Wakuu kuna mambo yasio elezeka yanayoendelea maishani mwangu, hadi kuchukua uamuzi huu, aiseee, basi tu, wakuu. Hali ni ngumu katika duka langu na naipenda familia yangu, naona kabisa nitashindwa...
1 Reactions
6 Replies
520 Views
Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano...
2 Reactions
24 Replies
626 Views
Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana...
3 Reactions
34 Replies
692 Views
Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu! Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za...
13 Reactions
60 Replies
3K Views
Anasema wana zunguka na magari ya kijeshi usiku huu kimya kimya. Taarifa zaidi ni kuwa hawapigi ving'ora kama huku bara ila wanazunguka kila eneo kutoa taarifa kuwa huko napo wapo. Niliposoma...
3 Reactions
9 Replies
517 Views
Nahitaji ushauri wa watu wenu ndugu zangu wenye busara. Ninaishi Canada kwenye nyumba ya serikali (HLM) pamoja na mke wangu na watoto wangu wawili. Baba yangu ana miaka 46. Nilimchukua aishi...
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…