Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dear members On 9 Dec, a fellow staff member was arrested, his home searched and interrogated at a police station before he was released on bail. He was accused of allegedly making remarks in...
1 Reactions
5 Replies
392 Views
Sasa hivi Gen Z nuda wowote wakiamua wanakukalisha ndani uwe unataka au hutaki, wakipanga tarehe nyingine uwe CCM au CHADEMA wote ndani.
5 Reactions
9 Replies
212 Views
Na huku Kuzusha kwenu ili kuzua Taharuki na kuonyesha kuwa hali si Shwari baina ya Wakristo na Waislamu ndiyo Kazi pekee muiwezayo kwa sasa hasa baada ya Juzi wenyewe Kunywea na Kuogopa za...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi...
3 Reactions
5 Replies
270 Views
Kisaikolojia kwa kile kilichotokea na ambacho hakikutegemewa ilikuwa ni Mjinga na Mpumbavu tu ajitutumue leo hii..!!!
15 Reactions
172 Replies
3K Views
Nawaza tu hapa. Kama Rais Samia angesema hataki kashikashi tarehe 29 angekaa pembeni na kusema nawaachia hicho kiti aiseee ngumi zingepigwa sana miongoni mwa wapinzani. Yaani mpaka Mange Kimambi...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Ni kama wamekata maji makusudi ili hii habari itrend zaidi watu wasahahu yaliotokea Oktoba 29, mimi nikishaona habari mbaya mbaya zinapostiwa hadi na TBC kila saa na vyombo vingine machawa vya...
26 Reactions
48 Replies
1K Views
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji...
2 Reactions
11 Replies
244 Views
Ruangwa tuna shida kubwa ya maji. Mimi nimezaliwa hapa nimekulia hapa hadi leo hii nakaribia umri wa miaka 20 miaka yote hapa tuna shida ya maji tu, tangu niko mdogo tunateseka na shida ya maji...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Je wajua? Ulaaji usiofaa unaweza kuongeza hatari ya matatizo ya moyo 😟 β€œChips yai na soda baridi sana” πŸ”₯ Hivi vitu vinaongeza mafuta mabaya (kolesteroli) mwilini na vinaweza kuziba mishipa ya...
3 Reactions
8 Replies
422 Views
Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato Habari ya mchana ndugu mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu mbalimbali zenye kukupa ufahamu juu ya maradhi mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
557 Views
  • Poll Poll
Sitaandamana D9. Napenda uhai. Asanteni
-4 Reactions
96 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani...
3 Reactions
18 Replies
526 Views
We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Habarini waungwana Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _ flash hata mwezi haifiki tayari...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kiliba: Tumtii na kumuombea Rais Samia Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025, Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei. Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi. Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Iyo ndo kauli mbiu ya chama la mafia, Watu wa ccem itakuwa ndo kauli mbiu yao hiyo. . Tutarajie kuzika viongozi wengi jamani tusichoke ,wasanii tungeni kabisa nyimbo za watu waziti alafu sihifadhi
5 Reactions
3 Replies
265 Views
Wakati mwingine unasita kuingia jamii forum, ili usome watu wanavyokandikwa, sasa hawa ndiyo Generation Z aiseee πŸ˜‚ πŸ˜†!!
6 Reactions
7 Replies
442 Views
Mabeberu wanakausha vyanzo vya maji makusudi ili kuwagombanisha Waafrika na serikali zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwl
10 Reactions
42 Replies
647 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…