Google inapofikia tarehee moja ukusanya matukio na kutengenezwa sehemu ya video fupi kama yaliyopita.
Kwa revolution zilizotokea 2025 pamoja tanzania mauwaji inawekwa ila sijajua wataweka kwa...
Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao.
Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe.
Leo hii kwa kiduku...
Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo.
Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota.
Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa...
Godfrey Mwambe aachiwa kwa dhamana. Anatuhumiwa kupanga njama za kutaka kumuua ‘Mkuu wa Polisi’
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo Jumatatu Desemba 15, 2025 imeyaondoa rasmi...
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni...
Tanzania, nchi yenye mandhari nzuri na urithi wa kitamaduni mbalimbali, inajivunia historia ya maelfu ya miaka. Tangu enzi za wawindaji wa mapema hadi utawala wa kikoloni na kupigania uhuru...
Umewahi kujiuliza kwa nini Waafrika hususani sisi weusi tunadharauliwa sana? Actually sababu sio rangi yetu ya ngozi pekee, bali kuna sababu nyingi mno kwa nini Waafrika wanadharauliwa sehemu...
Baada ya serekali kuwaokoa wasiendelee na vipigo vikali kwa kufungia hizo kampuni za LLB na FIC kisha kuwakamata waliokuwa wakiendesha hizi kampuni za kitapeli ndio basi tena?
Ukimya ni mwingi...
Mambo vipi wana JF.,.
Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na...
Msimu wa sikukuu ndio kipindi cha watu kupata mapato mengi ukilinganisha na miezi mingine.
1 Huduma za Usafiri na sheli.
2. Masokoni, minadani, maduka makubwa na wauza nguo.
3. Wauza vileo...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua Kampeni Kabambe ya Msimu wa Sikukuu kwa ajili ya kuwazawadia wateja wake wanaofanya malipo kwa kutumia kadi ya Popote Visa, ambapo watapata rejesho la...
Achana na lile vibe la msiba la waombolezaji, kwikwi na vilio vya chinichini, simanzi na majonzi wakati wa ibada.. Hayo mambo jana hayakuonekana kabisa
Kilichoonekana jana ni mambo ya kutisha...
Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa
Lakini picha za nyumba walizotumia mbona kama ni nyumba za mambele wakuu...
Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu!
Hii ni misemo ya wahenga,
Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile...
Damas Ndumbaro:
Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Leo kanisani parokia ya mama bikira maria kiwanja cha ndege dodoma kulikuwa na msiba ya mtumish wa MUNGU jenista mhagama mwana jumuiya au kwa...
Inakuwaje mtu ambae sio medical professional kupewa majukumu ya kuongoza wizara nyeti ya afya? Na hii inatokea kwenye wizara nyingi tuu na matokeo yake ndio kama haya...
Mnakera na kutia aibu asee
Waislamu ni wagumu sana kutengeneza kitu cha kunufaisha jamii nzima, licha ya wao kuwa na matajiri wengi kama kina Bakresa na wengineo hapa Tanzania lakini linapokuja suala la kurudisha kwa jamii...